jf chit chat taaaaamu!

Lakini Mpolee anawakilisha kundi kubwa sana la wanawake wa siku hizi ambao mtakiwa mlifanyie kazi. Kuna binti mmoja Katembea na mwanamuziki wa bongo fleva, katembea na waliyekutana naye kwenye fb, kamuongeza mpenzi wa rafiki yake bila kujua katia ndani mume wa shoga yake. Lakini yote hayo kwa sababu anasema alishawahi kutendwa!!

Huyo alikuwa akiendeshwa na maumivu. Ndio maana tunashauriwa kutofanya maamuzi tunapokuwa na hasira au maumivu makali ya moyo unaweza ukadhani unafanya lililo sahihi kumbe ndo unazidi kujitumbukiza kwenye shimo...mbaya saana! Ila huyo mwisho wa siku atajutia maamuzi yake..
 
Mpolee naamini umepata ushauri wa kutosha na wa maana hasa kwa Smile. Kama una macho na masikio..sikiliza na tazama. Vinginevyo utakuja kujikuta umeshalegeaaaaaaa na wakija tu wanakimbia.
 
mwita 25 on duty?:photo:

Achana nae huyo Big X alishasema na alitangaza Chit Chat ifutwe, halafu nashangaa leo hii anatia pua humu chit chat...
USO WAKE unaichukia Chit chat lakini MOYO WAKE unafurahia kuingia humu Chit chat
 
huyo alikuwa akiendeshwa na maumivu. Ndio maana tunashauriwa kutofanya maamuzi tunapokuwa na hasira au maumivu makali ya moyo unaweza ukadhani unafanya lililo sahihi kumbe ndo unazidi kujitumbukiza kwenye shimo...mbaya saana! Ila huyo mwisho wa siku atajutia maamuzi yake..
by the way heart binadamu tunaendekeza ujinga ni kama mtu unaenda dukani ukakuta kiatu kizuri yes ni kizuri ila so saizi yako.unasema ngoja nikichukue vile kinanibana nitakivaa hvohvo vile ni kizuri.in real situation hutokaa upate furaha ya hvo viatu maana vitakuwa vinakuumiza.mapenzi ni mazuri ila kama hayakupi furaha jua umevaa undersize jipange
 
usicheke mkuu In life we all fall down at times ila ndo hvo we have :focus:tobe strong and have all our dreams back
Smile in life we hv to be rough, smart n samtm you have to be lucky also, hakuna kanuni kama zipo ni kwenye maandishi tu na ni subject to time n place, listen tu your heart mpolee
mimi nina principle yakuwa rough na mambo yanasonga.
eti nikae chini na kalamu na karatasi nianze kupanga namna nitakavyotumia mshahara wa mwisho wa mwezi... no way tena hapo nitakuwa nimejiongezea cost nyingine ya time na sitafanikiwa (failure at a higher cost)
 
smile in life we hv to be rough, smart n samtm you have to be lucky also, hakuna kanuni kama zipo ni kwenye maandishi tu na ni subject to time n place, listen tu your heart mpolee
mimi nina principle yakuwa rough na mambo yanasonga.
Eti nikae chini na kalamu na karatasi nianze kupanga namna nitakavyotumia mshahara wa mwisho wa mwezi... No way tena hapo nitakuwa nimejiongezea cost nyingine ya time na sitafanikiwa (failure at a higher cost)
ahahaa umenikumbusha kumbe tupo wengi kwenye rough financial managment wewe utanifaa mida ya kuteketeza hela
 
by the way heart binadamu tunaendekeza ujinga ni kama mtu unaenda dukani ukakuta kiatu kizuri yes ni kizuri ila so saizi yako.unasema ngoja nikichukue vile kinanibana nitakivaa hvohvo vile ni kizuri.in real situation hutokaa upate furaha ya hvo viatu maana vitakuwa vinakuumiza.mapenzi ni mazuri ila kama hayakupi furaha jua umevaa undersize jipange

Mwisho wa siku unakigawa kiatu..au unakitia viraka kila siku coz of madole ya miguu kuwa makubwa..ahhahaha. Nimeupenda huu mfano....
 
ahahaa umenikumbusha kumbe tupo wengi kwenye rough financial managment wewe utanifaa mida ya kuteketeza hela

haaaa haaaaa unakuta mtu anaongea peke yake njiani, ndio wanaogongwa na magari njiani
mambo ya kucomplicate life.... lol
 
y
Mwisho wa siku unakigawa kiatu..au unakitia viraka kila siku coz of madole ya miguu kuwa makubwa..ahhahaha. Nimeupenda huu mfano....
yeah lakini tabia ya mtu inabadilishika (dynamic wth time n place) kiatu ukikinunua ndio imetoka
 
y
yeah lakini tabia ya mtu inabadilishika (dynamic wth time n place) kiatu ukikinunua ndio imetoka

Ukikinunua kinakuwa chako ndio...lakini kama ulikinunua kwa kuwa ni kizuri tu,au kina-match na nguo flan ilhali kiukweli hakikutoshi..hutodumu nacho...hakitazeekea miguuni mwako. Aidha kitazeekea jalalani,au Kwenye mguu wa mtu mwingine ukikigawa...au ndo kitakuwa kila siku mali ya fundi viatu,mwisho utakiacha huko huko akiuze tu.
 
ujue watu tu huwa tunakosea mwanzoni unaona mapungufu ya mtu na makero yake unasema haina shida atachange.mimi hata kama tumekubaliana kuanza mahusiano leo yaani ukunikera hata kesho haifiki:flypig:
:flypig:
 
y
yeah lakini tabia ya mtu inabadilishika (dynamic wth time n place) kiatu ukikinunua ndio imetoka
wewe itakula kwako? kwanini uchukue kitu sio size yako na sokoni bidhaa ni nyingi na mabrand tofauti ya kumwaga?
 
ujue watu tu huwa tunakosea mwanzoni unaona mapungufu ya mtu na makero yake unasema haina shida atachange.mimi hata kama tumekubaliana kuanza mahusiano leo yaani ukunikera hata kesho haifiki:flypig:
:flypig:

After all..hiyo ni kwa faida yako mwenyewe,mwisho wa siku wewe ndio utaishi nae na ndio utaubeba mzigo wako mwenyewe...# Watu wengine hawafikirii kwamba baada ya ndoa kanisani au msikitini,ukilala usiku huyo ndo mtu wa mwisho kumuona pembeni yako na asubuhi ndo mtu wa kwanza kumuona...maisha yoooote! So tabia zake na vikorombwezo vingine utaishi navyo miaka yote..
 
unakuta mdada yupo na mwanaume anamlisha,anamvalisha kila kitu anategemea waje kuwa pamoja,irresponsibility man for what? wake up ladies
 
Naona kwenye hii thread akina dada wanalalamika zaidi,kama wao ndiyo watendwaji wakuu! Mi nilifuatwa na mchumba wa mtu,akaniapproach. Ki-shingo upande nikakubali.. Baadaye nikakolea kwenye love. Kumbe mchumba alikuwa Europe kwa kama 6 months hivi. Mimi nikala raha naye kwa 2 months tu za mwisho.. Hakuniacha ghafla. Ni baada ya kumwona yuko busy,nikimpigia anasema tulia ntakutafuta. Siku moja jioni,[ilikuwa marufuku kupiga jioni] nikiwa na mawazo mengi,labda,nikampigia akakata. Kisha nikatuma ujumbe mfupi wa simu kuwa nitamweleza mchumba wake yote hayo yaliyotokea akiwa nje ya nchi.. Nilipigiwa simu ya dharau,kejeli, si matusi, bali moyo uliniuma,na nikajua ndiyo mwisho wa mahusiano! Na kweli uhusiano ulikufa,ila bado namlaumu hadi leo!
 
Back
Top Bottom