Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,621
- 3,513
Kinachonikera kuhusu revenge ni pale unapomrusha roho halafu lenyewe hata halirushiki ndio kwanza anakula kuku kwa mrija..ananenepa tu. Pale ndipo unapogundua kuwa unapoteza muda tu,ni bora kusonga mbele..
Ha ha ha ha.....!!Sasa na mdada ndo anatakiwa kuwa hivi, maisha lazima yaendelee tena kwa viwango bora zaidi...umeachwa,kubali,angalia mbele hakuna kitu wanachoondoka nacho,kama alikuona yeye wapo watakaokuona na kuviona vizuri zaidi kwako....!!