Jf chit-chat imepungua mvuto...tuandamane.

Mapenzi kizungu zungu Bishanga asikwambie mtu, kama wewe hujui limbwata nitty anajua! Unalo lol!

Mungu ni wa wote,bora kapigwa ban,siku zote nakutaka unankataa ndo ukaja angukia kwa nitty mchimba madini wa nyarugusu?wanawake bana! Yaani unamkataa mshefa bishanga na minoti yake?
 
Mungu ni wa wote,bora kapigwa ban,siku zote nakutaka unankataa ndo ukaja angukia kwa nitty mchimba madini wa nyarugusu?wanawake bana! Yaani unamkataa mshefa bishanga na minoti yake?
Kipenda roho Bishanga....lol
 
Sasa haya maandamano yameanzia chit chat, yanaishia viwanja gani? Afu mbona umeshusha bango lako?

aya maandamano mpaka kwa invisible na maxence...bango nalinyanyua kwa kuibiaibia,siunajua tena wazee wa virungu na bosi wao Kova huwa awachezi mbali!!
 
Wapendwa mie sio mchangiaji sana wa hapa chitchat,ila ni mpenzi sana wa hili jukwaa..
Baadhi ya hao memba ni hawa hapa.

Nyaningabu
Faizafoxy
Kiranga
Rev Masanilo
Figganiga
Mwita25
Matumbo
Lizzy
Bigirita
Washawasha
MTM
Boss
Jmushi
Mzee

na wengine wengi...

kwani hao wote wamepigwa Ban mmmh
Lizzy- No

Jmushi -No

MTM-No

Bigirita --mmh

Labda maundumula:biggrin:
 
Back
Top Bottom