JF bora Kuliko FaceBook...

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Kwa muda mfupi nilioshiriki hapa JF, nimeona kama hapa ni pazuri kuliko kwenye FACEBOOK.

Hapa JF, mada huchambuliwa kwa umakini mkubwa.

Taarifa muhimu hupatikana kwa haraka sana.

Members wana takwimu za kila aina.

Hapa JF hapajakaa kihuni huni.

Members wa JF, wanatunza heshima zao.

Sasa nitaanza kuwajibika kuiendeleza forum hii.

BIG UP waanzilishi wa JF.
 
Exaud

Niaonavyo mie ni kuwa maudhui/malengo ya JF ni tofauti kabisa na FB.
Upo FB, wanafanya nini kule?
 
Facebook na Jamiiforums vitu viwili tofauti mkuu. Facebook ni social network na JF ni online forum.
 
Kwa muda mfupi nilioshiriki hapa JF, nimeona kama hapa ni pazuri kuliko kwenye FACEBOOK.

Hapa JF, mada huchambuliwa kwa umakini mkubwa.

Taarifa muhimu hupatikana kwa haraka sana.

Members wana takwimu za kila aina.

Hapa JF hapajakaa kihuni huni.

Members wa JF, wanatunza heshima zao.

Sasa nitaanza kuwajibika kuiendeleza forum hii.

BIG UP waanzilishi wa JF.

Karibu mkuu wala hujachelewa. Usije tu kuwajibishwa kwa kutokuwajibika kuiendeleza!
 
Kwny rangi: nani kakumbia hakuna uhuni hapa?
 
[/I][/B]
Karibu mkuu wala hujachelewa. Usije tu kuwajibishwa kwa kutokuwajibika kuiendeleza!

Mkuu jina lako limenivutia sana KYACHAKICHE! ungekuwa mchezaji 'one day' mtangazaji angekata ulimi,.... kama ndiyo unakata chenga na mtangazaji anakutaja mfululizo!! Kyachakiche, Kyachakiche,Kyachakiche,Kyachakiche.....x10!

Lakini safi sana mkuu! hongera, napenda sana majina ya kiafrika.
 
Huku ndo kwenyewe mkuu karibu sana waambie na wengine waje waenjoy mavituz toka pande mbali mbali za dunia.
 
Mkuu jina lako limenivutia sana KYACHAKICHE! ungekuwa mchezaji 'one day' mtangazaji angekata ulimi,.... kama ndiyo unakata chenga na mtangazaji anakutaja mfululizo!! Kyachakiche, Kyachakiche,Kyachakiche,Kyachakiche.....x10!

Lakini safi sana mkuu! hongera, napenda sana majina ya kiafrika.

MZIZI,
Kweli hili jina la KYACHAKICHE liko kama KITANZA ULIMI (tongue twister).
 
FB ni mambo hadharani..huwezi kujificha nyuma ya keyboard na kuanza kurusha mawe.
FB inakuunganisha na ndugu, jamaa na marafiki..mnaheshimiana kwa kwenda mbele, JF unaweza kujikuta unamtukana hata baba yako mzazi! ( Unaweza kuokota laana)
 
Naungana na wote kuwa hapa JF kuna michango yenye mashiko kwa jamii nzima. Ninawapongea wachangiaji wote wa JF (namanisha wale wa HALI na MALI) wanaoiwezesha forum hii kusonga mbele na kuwa na maana yenye MAANA kwa tanzania na jamii nzima

DARASA/SHULE SI MAJENGO..
..
 
Ukitaka kujua tembelea Alexa the Web Information Company kuangalia website zinazotembelewa sana duniani kwa nchi halafu African Blogs, Videos, Photos & Social Media - Afrigator angalia blogu na tovuti za habari zinazosomwa na kutembelewa zaidi afrika kwa afrigator click on tanzania ungekuwa umefanya utafiti kote huko ndio ungeweza kuja na mada ukaitetea bwana makyao
 
FB ni mambo hadharani..huwezi kujificha nyuma ya keyboard na kuanza kurusha mawe.
FB inakuunganisha na ndugu, jamaa na marafiki..mnaheshimiana kwa kwenda mbele, JF unaweza kujikuta unamtukana hata baba yako mzazi! ( Unaweza kuokota laana)

Uko huko Facebook WoS?

Wakati mwingine huwa nadhania ni mimi tu ambaye siko huko...
 
Naungana na wote kuwa hapa JF kuna michango yenye mashiko kwa jamii nzima. Ninawapongea wachangiaji wote wa JF (namanisha wale wa HALI na MALI) wanaoiwezesha forum hii kusonga mbele na kuwa na maana yenye MAANA kwa tanzania na jamii nzima
.

OBE,
Tuko pamoja mkuu.
Nashauri kama ulikuwa hujaanza kuchangia kwa mali kama mimi, tufanye hima tunyooshe mkono.
 
Back
Top Bottom