Mugo"The Great"
JF-Expert Member
- Oct 7, 2007
- 262
- 25
Makelele tu kama kawa!!, hakuna la ajabu lilofanyika au litakalofanyika, fikiria Rais Mbowe angefanyaje ktk hilo dili alopewa Kikwete na mbwia ugolo Joji Kichaka!!!. Kwani mmesahau ile " either you are with us or with the terrorists." Kwanini usichukue kifuta machozi na kuendelea kubaki upande wao? Halafu Bongo ikikataa kuwekwa kwa hiyo kambi chepi kitacho ongezeka na chepi kupungua? kwani Bongo ndio itakuwa nchi ya kwanza kuwekwa kambi za kimarekani?. Mijikambi ya kimarekani ipo dunia nzima kuanzia ulaya mpaka mashariki ya mbali, tena nchi nyingine za MAANA kushinda hiyo Bongo( Ujerumani na Japan). Na hakuna lolote lilo haribika zaidi ya kambi hizo kuwa ni mojawapo ya vitega uchumi ya miji zilizomo.
"!!
Hasara ni kubwa kuliko Faida, kwanza watanzania wafahamu kuwa tulisaini mkataba ambao hauwaruhusu watanzania kuwashtaki wamarekani wafanyapo uhalifu wakiwa kwenye ardhi yetu."
Pili, Kuwa Non Aligned is the best option, otherwise tutakuwa target ya Terrorists, na hivyo itabidi tu-advert hata hizi fedha za budgets ambazo zin nakisi kila mwaka kuimarisha ulinzi. Who knows baadhi ya mataifa yataanza kuwa-hate watanzania kama yanavyowa-hate wamarekani. Amani ya nchi yetu itakuwa mashakani.Believe me "Tanzania would never be the same from the time the Contract is signed" Tusilinganishe Germany au Japan na Tanzania kwa sababu , teknolojia yao iko juu na pengine wanajua benefit wanazopata. Hivyo ni vizuri mjadala uwe wa wazi ili Watanzania wawe informed na wawe tayari kwa Matokeo yoyote.