Jf best of the best 2011

OGOPASANA

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
262
144
Habarini zenu wakuu,
nilikuwa na wazo wadau, tunaweza kuwa na tafrija ya kukutana kila mwisho wa mwaka na kuwapongeza wanaJF katika jukwaa la Biashara ambao wamefanya vizuri katika nyanja mbalimbali kwa mwaka mzima, ili kutiana changamoto, motisha, kupeana moyo, kujifunza zaidi kupitia wenzetu, kutoa support nk kwa wale walioidhinishwa kufanya vizuri kila mwaka? (ikiwezekana kutoa tunzo kabisa)Mfano: Business Idea bora ya mwaka, mjasiriamali bora wa mwaka, mfanyabiashara bora wa mwaka, mchangia mada bora wa mwaka..nk

Nawasilisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom