JF attractive Avatar the year 2011!!

Ya kwangu imetajwa? Manake ndo the best avatar ever..!
 
Aaah jamani?
Kwani kuna ubishi kuhusu avatar yangu kuwa bora humu?
 
ya kwangu ndio..namba ya simu sina labda nikupe namba ya mume wangu.

heee!..ni mumeo ana sifa kama zako? acha kumdhalilisha bana. kumbuka huyo jamaa unayetaka kumpa namba ni mwenyeji wa mombasa. naomba ufikilie mara mbili kabla hujampa hiyo namba, bora umpe namba yako.
 
hivi kwa nini wasichana wengi hawapendi kuweka picha zao halisi??au hawajiamini??

Inawezekana pengine hawajiamini lakini hiyo sio sababu ya msingi. Kila mtu ana sababu zake kwa nini hataki kuweka picha yake. Wengine hawaweki kwa sababu wanaogopa kusumbuliwa na wanaume kama TANMO.
 
Ha ha ha ha...:doh:unajua leo ndo nimeichunguza avatar yako kwa makini...hivi huyo baba anafanya nini kwenye mewata ya huyo mama? au macho yangu...ngoja nivae miwani banaa:coffee:
yangu ofukozi.
 
Back
Top Bottom