And I dont want to believe that there is Popobawa ooops GÖD or whatever you call....i dont want to believe that there is no god.
You see the different!?
And I dont want to believe that there is Popobawa ooops GÖD or whatever you call....i dont want to believe that there is no god.
Nimekuambia kweli wewe akili zako ni finyu na wala hazina utandawazi.Inaonekana ulifanywa vibaya na popobawa wa kipemba wewe.
Pole sana, siwezi kukusaidia na maumivu uliyo pata.
Nimekuambia kweli wewe akili zako ni finyu na wala hazina utandawazi.
Hivi unaamini kwamba kuna popobawa?
No wonder... that.... you.... believe... that there is GÖd/°p
Nakupa pole sana, wewe endelea kuuguza maumivu uliyo pata baada ya popobawa kukula.
Ukipona, njoo hapa tujadili kuhusu ukomusti wa darwin.
It seems you dont know what you talking about, dont you!?
I said many times,
You haven't explained why Darwin should be considered more racist than
other men of his time.
You haven't explained why, if he were, it would be problem for
evolutionary science.
You haven't explained why, when Hitler made no reference to Darwin or
evolution, it meant he was "an evolutionist", but when he said he was
doing God's will, it meant he wasn't a theist.
You don't have to explain why you are attacking the reputation of
Chas. Darwin rather than pointing out the scientific problems with
evolutionary theories
Umekua kichekesho.
Kama unaamini kwamba kuna popobawa, sikulaumu kamwe kwamba unaamini kwamba kuna Mungu.
Kua mwanangu kua.
Yeah about Darwin. mbona hujibu hii?
Labda hujuwi hili, atheist which is about 1% ya watu duniani committed more crimes than any other group of people through communism. There is no way around it and no argument on it.
Let me mention few names, Marx, Lenin, Mao, and etc. Do you remember these people?
Nimekuambia kweli wewe akili zako ni finyu na wala hazina utandawazi.
Hivi unaamini kwamba kuna popobawa?
No wonder... that.... you.... believe... that there is GÖd/°p
Who cares!! lol
Wewe hujuwi chochote ni sawa na debe tupu.
How Many people Were Killed by Communists in the Name of Atheism?
Stalin, Mao, Other Communists Killed Millions on Behalf of Atheism, can you impugn that?
Umsoma hiyo post n kuielewa? Unaweza kuonyesha kwamba waliuliwa in the name of atheism?
Communism wala si atheism, ni vitu viwili tofauti.Kwa mfano, mimi ni atheist, lakini si Communist.
Hao walioua wameua kwa sababu zao, wala si kwa sababu ya ukomunisti.
On the flip side, wangapi wameua kwa jina la ukristo? Ushawahi kusikia The Crusades? Hawa wamepata blessings kutoka katika biblia kabisa, nao utasemaje?
Nionyeshe kitabu rasmi cha atheism kinacho sanction kuua kama biblia inavyo sanction kuua.
Jerry Billings:
The most oppressive and human-killing regime's have been those of the Communists, founded on Karl Marx's Atheist "political doctrines". It is clear and open to everyone who knows the truth about communisms.
Yesterday, November 28, 2009, Ukraine said, they are going to burry 50,000 civilians who were killed by the communists regimes. I saw it on CNN last night.
In the past century, it is estimated that Communism is responsible for the deaths of between 85,000,000 - 110,000,000 people.
Yet, as had happened in 1932-1933, with Stalin's Holocaust against 7,000,000 in the Ukraine, the West passively denied the famine with the League of Nations accepting the USSR, and sweeping trade deals with the United States under Roosevelt.
Never a firm rebuke from its media... casual indifference from government which have always demonstrated the most casual disregard to human suffering, abuse of human rights and religious persecution.
For this, the Silent Holocaust continues...
Kwa nini hawa watu mashambulizi yao makubwa ni juu ya wakristo na Mungu? Hii inadhihirisha kwamba ukristo ni nguvu ya kweli inayoishi dhidi ya uongo.
One infamous Communist, Lenin, once said, "Atheism is a natural and inseparable portion of Marxism, of the theory and practice of Scientific Socialism.Umesoma nakuelewa hii au ndio kimombo kinakupa shida?
Usiwe na wasiwasi hivi karibuni tutaanzisha pia page ya kiswahili
.