JF-Atheists HYPOCRITICALLY Whining!!!

U got it right!!!!!!!!!!!

Kwahiyo hakuna kitu kwenu zaidi ya kuwapinga Wakristo na wengine wanao futa Mungu. Kwanini msitangaze na kufundisha uatheist? Mmegundua ni jinsi gani mlivyo haribu dunia kwa kutumia Ukomunisti ulio shindwa vibaya duniani pote.

Sasa mmebakia kuhubiri Mungu ambaye hayupo kutokana na fallacy yenu potofu. lol
 
Hahahahaaaaa huna unalojua kuhusu Christian doctrines.

Ndio walioua zaidi kushinda deen yoyote inayojulikana hasa wakitumia amri kumi za Mungu

Hatuzungumzii Ukristo hapa, inaonekana umesha anza kuchanganyikiwa na kuanza hiyo theorem ya aliyo sema MaxShimba, dismiss dismiss dismiss,

Usifikiri unaweza kupindisha mada kwangu.

Huna jipya wewe, kafundishe ukomunisti kwako na sio hapa JF.
 
Ndio walioua zaidi kushinda deen yoyote inayojulikana hasa wakitumia amri kumi za Mungu

Mungu yupi, hivi kuna Mungu?

How can God ambaye hayupo atoe amri? Hivi wewe umechanganyikiwa?

Whining
Whining
Whining
lol
 
Mungu yupi, hivi kuna Mungu?

How can God ambaye hayupo atoe amri? Hivi wewe umechanganyikiwa?

Whining
Whining
Whining
lol
Mungu mnayemuita nyie kama unataka nikufurahishe.
Kwangu mimi naweza kumuita Popobawa ambaye ukweli wake haupo.

Happy now?

Kwakukufurahisha zaidi basi ngoja niseme, watu wengi waliuliwa kutokana na amri za popobawa.
 
Why are you running away from the USSR, China, Cambodia, etc facts? Unaona jinsi collective memory yako ilivyo kuwa mbovu?
I,m not running mister, but as I told you in my previous post

Kaa mkao wa kula.

Tuone nani atakimbia hapa.
 
Ni nyie watu wa deen mnayemuita mungu, kwangu mimi ni sawa nakusema Popobawa ambaye ukweli wake haupo.
 
Mungu mnayemuita nyie kama unataka nikufurahishe.
Kwangu mimi naweza kumuita Popobawa ambaye ukweli wake haupo.

Happy now?

Kwakukufurahisha zaidi basi ngoja niseme, watu wengi waliuliwa kutokana na amri za popobawa.

I always ask you kama zipo kamili kwako,

You can not preach God who is not existing, ad infinitum. Unless you are suffering from Schizoaffective disorderness.

If your belief and what you follow says there is no God,

How on earth are you now preaching God who is not existing?
 
Wapi nime preach kuhusu God oops Popobawa
 
Huna jipya, ndio maana unarudia hata thread za ten commandments, sasa unaiita number II, lol.

Ten commandments ndio akili zenu zilipoanzia nyie watu wa deen

Kuiita # 2 nikwamba nimekupa mwaka mzima mpaka sasa huna jibu.
 
Ushauri wa bure Max,

soma post hii
atheism is nothing more than the disbelief in God

Yaani mtu anajiuliza swali nakujijibu mwenyewe!!!

Tumieni akili mnaboa
 
Talking about whose commandments?

Iko pale pale nataka majibu

Ten Commandments
Darwin
user_online.gif
14th December 2008, 04:32 PM
Hii thread nimeianzisha kwa ushauri wa Max aliyesema kama ninataka nianzishe ili apate kunijibu.
Kila mtu ana uhuru wa kujadiliana ila sitopenda copy and paste
Nataka vile mtu alivyosoma mwenyewe theology au hata vitabu vingine, kukopi kazi ya mtu mwingine haitasaidia chochote [ KWA WALE WASOMI NDIO MAANA KUNA MITIHANI MADARASANI.]

Moses alizaliwa {makadirio} miaka 1400 kabla ya kristo.
Moses ndie aliyepewa amri kumi za mungu
Katika torat ndio wanaosema alionana na mungu macho kwa macho.
Waislamu wanamuita Musa bwana wa mabwana.
Yesu aliwahi kuulizwa je umekuja kuibadilisha torat ya Moses? akajibu sikuja kuibadili bali kuiboresha {kwa maana hio kuongezea machache nakuendelea aliyoacha Moses.

Moses alipewa amri kumi na mungu kwenye jiwe, na lugha iliyotumika wakati ule ilikua Hebrew.

Katika kusoma historia ya hebrew ni kwamba miaka 1400 kabla ya kristo kulikua hakuna alphabet za hebrew.

Max maswali yangu ni haya

1.Kama Moses/Musa alipewa amri kumi za mungu na lugha iliyotumika ni hebrew, imekuaje imepishana uhai wake na amri kumi alizopewa.

2. Kama alphabet za Hebrew zilikuja karne na karne baada ya uhai wa moses kuna mtu mwingine alipewa amri kumi za mungu?

3.Moses wa kwenye bible na torat ni huyo huyo mmoja au wawili?

4.Je kuna moses wa kabla ya yesu na wa baada ya yesu aliyepewa amri kumi za mungu?

Kama utanijibu haya maswali manne tu, basi kuanzia leo nitaamini kwamba Torah, bible na quran ni vitabu vya kweli na nitaanza kufuata dini, lakini kama sijapata jibu lolote kuhusu huyu Moses tu, basi nitaamini kwamba vitabu vyoote vilifanywa kutungwa tu na wajanja.

Ni mimi wako
Kingunge

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...mandments.html
 
Libeneke litaendelea kesho naenda kusoma jinsi mtu mmoja aliyejiita mtoto wa popobawa nakutumaini kwamba popobawa atamuokoa msalabani kumbe alijidanganya mwenyewe LOL
 
Libeneke litaendelea kesho naenda kusoma jinsi mtu mmoja aliyejiita mtoto wa popobawa nakutumaini kwamba popobawa atamuokoa msalabani kumbe alijidanganya mwenyewe LOL

Inaonekana ulifanywa vibaya na popobawa wa kipemba wewe.

Pole sana, siwezi kukusaidia na maumivu uliyo pata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom