Jf-arusha wing...safari updates

Heshima kwako PakaJimmy,

Mkuu tayari nilikuwa na mpango wa kutembelea Manyara na Tarangire na ikiwezekana Momela.Nitakuwa na familia tatizo gari yangu haina 4WD na mvua zimeshaanza kunyesha.Nitawasiliana na wewe kabla ya hizo tarehe kama mvua zitaendelea kuwa kubwa.Vyovyote itakavyokuwa nitajitahidi kuwasiliana na wewe zaidi ni kufahamiana.
 
JF to the next level, big up sana....tunapata stress kwenye maisha ya kawaida tunakuja kurelax JF, sio tunapata furaha kwenye maisha ya kawaida halafu tuje kuwa stressed JF

Hunijui sikujuj......???????

Thanx mkuu for ze Big-Up!

Hapo kwenye red nani kakukorofisha tena kiongozi?
 
Heshima kwako PakaJimmy,

Mkuu tayari nilikuwa na mpango wa kutembelea Manyara na Tarangire na ikiwezekana Momela.Nitakuwa na familia tatizo gari yangu haina 4WD na mvua zimeshaanza kunyesha.Nitawasiliana na wewe kabla ya hizo tarehe kama mvua zitaendelea kuwa kubwa.Vyovyote itakavyokuwa nitajitahidi kuwasiliana na wewe zaidi ni kufahamiana.

Ngongo,

Natanguliza heshima sana kwako!

Nashukuru sana kuwa umerespond haraka hivi!

Kimsingi ni kwamba mvua zimenza kunyesha, na hii inaweza kutuyumbisha kidogo.
Lakini binafsi nina mawasiliano ya karibu na watu wa porini, na tutakuwa tunasoma mazingira kadiri muda unavyosogea...Lakini pia idadi ya watakaorespond itachangia sana kufikia muafaka wa aina ya usafiri!

Ni jambo la faraja sana kuwa ulikuwa na mpango wa kwenda sehemu mojawapo kati yahizo...Maisha ni mafupi bana, kwanini mtu binafsi ayafanye kuwa mabaya in addition?..Hongera!
Kama plan yako ita'take-off, well and good, na kama itakuwa vinginevyo, basi tafadhali jiunge na sisi!
Kila mmoja wetu ana hamu sana kufanya jumuiko hili la kufahamiana!

kIONGOZI WANGU KARIBU SANA!
 
Mkuu kwakuwa nitaongozana na familia ningependa kujua tarehe na saa ya safari ikiwezekana msafara uwe mmoja bana.
 
Shemeji please Add me to the list Usinibanie ati
Wooow...how good!

All the way from MZA to ARS!...inatia moyo sana!

Reservation yako imeshatengwa, na hakuna namna yoyote tunaweza kumpa mwingine!
Naanza kuamini hii mambo itakuwa ni historical!...tunaweza kuchinja MBU!
 
Your Wish granted Sir!

OlMatejoo mkuu wangu hapo ni mshikemshike, i dont know how you manage!...lakini home is best!

Mfamaji nafurahi kuwa tuko pamoja kama samaki na maji!...be connected, and I am sure we gonna make this thing a success and memorable!
PJ inahitaji ukomandoo wa kikwelii. Kama hujapita JKT mazee huku hukuwezi. Nafurahi tuko wengi . Together We Stand
 
Kimsingi nimeiweka hiyo point yako pale mwisho wa thread yangu..ni jambo la wazi,na ni huru kwa m-JF yeyote, naomba nieleweke hivyo!
Mkuu, kama utakuwepo usisite, tuwasiliane-karibu sana!

Nimekusoma mkuu ngoja nijipange
 
Heshima kwako PakaJimmy,

Mkuu kwakuwa nitaongozana na familia ningependa kujua tarehe na saa ya safari ikiwezekana msafara uwe mmoja bana.
Mkuu Ngongo,
Ni kwamba kwa vile tumeamua jana tu kuwa tulilete suala hili hewani, basi kwasasa tunachofanya ni kupokea maoni ushauri na input yoyote itakayoboresha...Hatujapanga tarehe rasmi so far, japokuwa itakuwa katika range hiyo inayoonyeshwa kwenye thread...lakini kwa kuwaza, tarehe kati ya 20(juma3) na 23(alhamisi) ni nzuri sana!
Labda nikusikilize na wewe mkuu!

PJ ashenale,,,
Naamini itakuwa nafasi nzuri ya kufahamiana na ndugu zetu wengi zaidi ambao tunafahamiana kwa keyboard.

Najua mtu wa mwisho unayetaka kumwona ni mimi babu yako. Ndo maana natafakari kama ntapata mapokezi mazuri toka kwako. Na nnajua ni kitu gani kinasababishe usinipende. Lakini taka usitake, utaniona, kwa lazima!
 
Thanx mkuu for ze Big-Up!

Hapo kwenye red nani kakukorofisha tena kiongozi?

No mkuu, hayo ndo maisha tusiyoyataka...why hunijui sikujui ndani ya JF.....we need and appreciate those kind of initiative...away from keyboard life

Big up sana PJ, if timing itakuwa nzuri, will definitely be there
 
Najua mtu wa mwisho unayetaka kumwona ni mimi babu yako. Ndo maana natafakari kama ntapata mapokezi mazuri toka kwako. Na nnajua ni kitu gani kinasababishe usinipende. Lakini taka usitake, utaniona, kwa lazima!

hapo ndo pointi ilipo....labda tuhakikishe tu hampandi gari moja ili ukaguzi usijeanzia huko huko.....
 
Back
Top Bottom