JF Arusha, Where are you this Sunday?

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
Guyz am in town, where are u?
Lets keep in touch this evening?
Even if ur Usalama( All those who are here looking for what some one is doing) or Else please where are u?
 
hahah humu ndani watu wanajifanya kuwa expensive hawaonekani. Karibuni JAMII EMPOWERMENT (SACCOS)
 
Duuuuh mkuu mbona umekuja kimya kimya? Sasa nakuPM tuwasiliane tuone jinsi ya kufanya.
 
[QUOTE=WiseLady;23274
umeona eee

Halafu wewe habari zako nimezipata jana una kesi ya kujibu ngoja kwanza niwapange wenzako kabla hawajaanza mdomo na kuchafua hewa
 
Wiselady haki ya nani jisalimishe mwenyewe kabla sijalianzisha humu jamvini bora Preta ananilaghai na kunipooza kuliko wewe unayenichezea faulu za mateso
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom