JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

Akija a town ataona alama za misumari ndipo ataamini hiyo lukuki.

Sidhani kama atakuja ingawa nimepata nyepesi nyepesi kwamba alikuwa anajiandaa kuja a town next week.

Sasa viwanja vyake vyote vimetekwa hana pa kufikia, safari ya arusha imeota mbawa!!
 
Sina ninaye mtaraji... Poa ni ta jaribu kuwa karibu na wewe zaidi..

Swadakta, hapo umesema jambo la maana,

Jitahidi kuwa karibu na mchungaji sahara, utaona matunda yake, kama bado una mashaka muulize wiselady atakufahamisha uzoefu alioupata kwa sahara na matunda yake!!
 
Nashukuru hakuna aliyenikamatia Lily Flower wangu.......... ningeua mtuSweetlady wa babu........... ningechinja mtu.Msindima wa ODM............ Ningatafuna mtu.
Pole babu nilikuwa naye busy mahali fulani kwa mambo ya faragha na ndiyo maaana hatukutokea na hii ni baada ya kusalitiwa na wiselady
 
Hahahaha....dah pole sana mkuu kwa kusalitiwa!!!..habari ndiyo hiyo. uwepo wenu ulihitajika sana, ila lawama zote ziende kwa Lily flower ....nanukuhuu "JF Members arusha huenda wakapoteza mwanachama mmoja au huenda akaongezeka mwanachama mmoja" - Mwita Maranya
Pole babu nilikuwa naye busy mahali fulani kwa mambo ya faragha na ndiyo maaana hatukutokea na hii ni baada ya kusalitiwa na wiselady
 
Aisee kuna baa moja ilikuwa inaitwa Picnic....... bado iko hewani? Mara ya mwisho nlipiga trupa ya kufa mtu hapo na beer za kutosha nikajikuta nachukua room mchana kweupee!
Daah ..., ebana mkuu, ile Bar inaitwa "The Picnc" ni noma mazee .., ipo ipo ipo!! In fact kama hujawahi kuifika tena miaka kama mbili hivi iliyopita waweza uipotee hivi sasa ukiingia uko ndani, na halafu hizo totoz sasa ni za ukweli kali kali za kufa mutu, waweza unalize mshahara ati ndani ya masaa tu!
 
Nashukuru hakuna aliyenikamatia Lily Flower wangu.......... ningeua mtu

Nilikwambia huyu mjukuu wako alikuwa amefichwa mahali hukutaka kuniamini;

Hapo andika maumivu, huyo alikuwa amefichwa mahali, uliza uambiwe kiongozi.

Haya sasa aliyekuwa kamficha kajitokeza hadharani mwenyewe tena ana maconfidence ya hatari.

Pole babu nilikuwa naye busy mahali fulani kwa mambo ya faragha na ndiyo maaana hatukutokea na hii ni baada ya kusalitiwa na wiselady
 
Hahahaha....dah pole sana mkuu kwa kusalitiwa!!!..habari ndiyo hiyo. uwepo wenu ulihitajika sana, ila lawama zote ziende kwa Lily flower ....nanukuhuu "JF Members arusha huenda wakapoteza mwanachama mmoja au huenda akaongezeka mwanachama mmoja" - Mwita Maranya

Ukiwa m/kiti wa kamati ya maadili unatakiwa kuwafahamu vizuri watumishi wako ili kuweza ku monitor nyendo zao, huitaji kuota ndoto kama babu wa loliondo kujua kama kuna uwezekano wa plus or minus muda si mrefu!!

Ila na wewe unatuhuma, ilikuwaje Wiselady akatae offer ya mgeni rasmi lakini akakubali yako??
 
Back
Top Bottom