Jf akuna kulala vita ya mafisadi lazima kieleweke

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Hakika wasipomsifu mungu BASI jf tutanynyuka kumsifu MUNGU kwa ushind unaoendelea kwenye ya mafisadi wangapi walijua leo moto unaweza waka CCM kiasi hiki kisa walea MAFISADI na wanaokana MAFISADI\\

ALUTA CONTINUA
 
Moto gani wa mafisadi uliowawakia? kuwasema tu? , sijaona aliyeenda mahakamani, aliyerudisha mali zetu.Kama kusemwa ukweli wanasemwa mkuu, is always topic of the day! hii inakufurahisha mkuu?

Ushindi gani huo? naona kama wameweka iwe hivi ili wawapate watu fulani wa kusema 'tunawashinda' kwa kuwasema!
 
Back
Top Bottom