Jeuri ya wawekezaji na uziwi wa serikali

chiefthinker

Member
Apr 21, 2011
31
5
Katika vitu vya msingi sana kwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote duniani ni uwekezaji hilo halina mjadala,hawa hulindwa na sheria,kanuni na taratibu za nchi husika.Katika nchi za wenzetu mwekezaji anapokiuka sheria zilizo wekwa hufukuzwa na pengine kufungwa kabisa.Kilichonisukuma kuandika hii makala,ni jinsi serilali yetu chini ya CCM inavyokumbatia na kuwaabudu wawekezaji kutoka nje,miaka ya nyuma tuliwahi kusikia wawekezaji fulani wa dhahabu huko wilayani Sengerema mkoani Mwanza walivyo mfanya mtoto mdogo wa kike kwa kumshikia mbwa na kfanya ngono,hakika huu ni unyama wa hali ya juu sana!Mengi sana yamefanywa na wawekezaji sitaki kukukumbusheni ila labda lile lililotikisa nchi la wananchi wa Bulyanhulu kitongoji cha kakola huko Kahama kufukiwa chini wakiwa hai!Sasa hebu tuliangazie hili la Mji mwema Temeke kuchomwa moto raia asiye na hatia kwa kisingizio cha wizi,nani aliye ibiwa pale?na hata kama aliiba ni sheria gani ya uwekezaji inayoruhusu kujichukulia sheria mkononi?halafu nini na wapi uhuru wa mahakama?kweli mahakimu wanaandika kosa la kujeruhi?kweli?hii si sawa hata kidogo.
Mbaya kuliko zote siku marehemu,mtanzania mwenzetu,raia asiye na hatia anazikwa bado mwekezaji anapiga miziki kana kwamba ni sawa alichofanya!raia wanapopata hasira kwa kushinkiza hotel hiyo ifungwe,polisi waliotumwa na serikali wanajaa kama utitiri,walikuwa wapi wakati mauaji yanatokea?walikuwa wapi kulinda roho za raia ambalo ndio jukumu lao la msingi?sasa kazi yao imegeuka kulinda wawekezaji tuu?
Hivi wasingekuwa wanasheria kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu nani angesimama kumtetea mnyonge huyu mahakamani?nani angebadili kesi na kuwa ya mauaji?naumia sana kuona tunanyanyaswa ndani ya nchi yetu,tunaishi kama mateka kwenye ardhi yetu.Napenda sana kufanya kazi za kutetea haki za binadamu,niko tayari kujitolea kwa hilo ili mradi haki ya mtu ispotee,kituo cha haki za binadamu kama mko tayari,tuwasiliane!Hongereni sana na mwenyezi Mungu awazidishie.
 
Mimi nina jazba, nitaishia kuwaua wote nikiwafuma na hii inaweza kuwa hatari kwa familia yangu. Niko tayari kutoa ushirikiano kwa namna yoyote ile, tunadhalilishwa sana! Ni fedheha kubwa, wananch hawana budi kuchukua sheria mkononi, tit for tat is a wayforward!
 
Katika vitu vya msingi sana kwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote duniani ni uwekezaji hilo halina mjadala,hawa hulindwa na sheria,kanuni na taratibu za nchi husika.Katika nchi za wenzetu mwekezaji anapokiuka sheria zilizo wekwa hufukuzwa na pengine kufungwa kabisa.Kilichonisukuma kuandika hii makala,ni jinsi serilali yetu chini ya CCM inavyokumbatia na kuwaabudu wawekezaji kutoka nje,miaka ya nyuma tuliwahi kusikia wawekezaji fulani wa dhahabu huko wilayani Sengerema mkoani Mwanza walivyo mfanya mtoto mdogo wa kike kwa kumshikia mbwa na kfanya ngono,hakika huu ni unyama wa hali ya juu sana!Mengi sana yamefanywa na wawekezaji sitaki kukukumbusheni ila labda lile lililotikisa nchi la wananchi wa Bulyanhulu kitongoji cha kakola huko Kahama kufukiwa chini wakiwa hai!Sasa hebu tuliangazie hili la Mji mwema Temeke kuchomwa moto raia asiye na hatia kwa kisingizio cha wizi,nani aliye ibiwa pale?na hata kama aliiba ni sheria gani ya uwekezaji inayoruhusu kujichukulia sheria mkononi?halafu nini na wapi uhuru wa mahakama?kweli mahakimu wanaandika kosa la kujeruhi?kweli?hii si sawa hata kidogo.
Mbaya kuliko zote siku marehemu,mtanzania mwenzetu,raia asiye na hatia anazikwa bado mwekezaji anapiga miziki kana kwamba ni sawa alichofanya!raia wanapopata hasira kwa kushinkiza hotel hiyo ifungwe,polisi waliotumwa na serikali wanajaa kama utitiri,walikuwa wapi wakati mauaji yanatokea?walikuwa wapi kulinda roho za raia ambalo ndio jukumu lao la msingi?sasa kazi yao imegeuka kulinda wawekezaji tuu?
Hivi wasingekuwa wanasheria kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu nani angesimama kumtetea mnyonge huyu mahakamani?nani angebadili kesi na kuwa ya mauaji?naumia sana kuona tunanyanyaswa ndani ya nchi yetu,tunaishi kama mateka kwenye ardhi yetu.Napenda sana kufanya kazi za kutetea haki za binadamu,niko tayari kujitolea kwa hilo ili mradi haki ya mtu ispotee,kituo cha haki za binadamu kama mko tayari,tuwasiliane!Hongereni sana na mwenyezi Mungu awazidishie.

Wewe ndio ulitakiwa uwaone ili wajue wasifu wako, hata usipowafaa leo utawafaa kesho.
 
Back
Top Bottom