Jessica charles wa Twanga pepeta

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Mnamkumbuka huyu dada she came into limelight na hiyo bendi kipindi flani na mi binafsi nlikua namhsudu sana.

Sasa alidisappear kimya kimya na ghafla na hadi leo najiuliza bila majibu alienda wapi,ama yuko wapi na anafanya nini?

Kwa anaejua pliz,naomba mnijuze.
 
Me heard alienda ishi dubai, bt ni ktambo kidogo sasa sijui what next from those rumours
 
sijui yuko wapi sasa,ila nachojua ni kwamba huyu dada alifanyiwa opereshen ya koo wayback.nafikir ndo sababu iliyomfanya auweke mzik kapun
 
anasihi nchi za scandnavia..kama si norway basi ni sweden..namkumbuka ..was in primary enzi zile za twanga yenyewee..lile shepu doohh..sema ule uso wa kiume kama wa linnah dohh!!
 
hana lolote..anaonekana huyo Linah kafanana na baba yakee..af hakajajitambua..kanajiona kazuriii..ptuuu..na uandunje ule ye na mkapa sijui ngongoti nani!!

Acha wivu mbona unamponda hivyo. hakuna mtu aliyechagua aumbweje wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, weka sura yako hapa tukuone.
 
Back
Top Bottom