Jeshi Zimbabwe halitaruhusu Mugabe asitawale hata akishindwa uchaguzi

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
************************
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amesema ataitisha uchaguzi mkuu ikiwa hakuna Katiba mpya wakati huohuo jeshi la nchi hiyo limesema halitaki kutambua kiongozi mwingine yeyote.

Waziri Mkuu wa nchi hiyo Morgan Tvsangirai amesema viongozi wa kijeshi wa nchi hiyo wamemwambia hawatamruhusu mtu yeyote isipokuwa Robert Mugabe kuongoza nchi hiyo, bila kujali nani anahsinda uchaguzi.

************************
SOURE: MWANANCHI
ISSN: 0856-7573, Na. 04275
DATE: MARCH 11, 2021
PAGE: 08

************************
 
Mbona ndio ilivyo toka zamani! Haijalishi anapata kura ngapi anaendelea kutawala na ni wazi jeshi linafaidi pamoja naye.
 
Tunaongea la Zimbabwe kwa kuwa liko open, je la Tanzania liko tayari ikiwa atashinda mtu wa upinzani?. Tafakari!
 
Kibri ya CCM si uslama wa Taifa ni JWTZ .
JWTZ limejaa makada wa CCM

Sisi wananchi tukisema basi hakuna cha JWTZ wala nini.
 
Back
Top Bottom