Jeshi lilijua kuwa mabomu yangelipuka...?

Lukindo, your post sounds revolutionary and I would support you in any way.

My takes are as follows:

1) Do as what Egypt and other Middle East Countries have done/are doing. The connstraint behind this is that Tanzanians are for the time being divided...Udini, uchama, ujimbo and so forth. However, through JF and other media (though majority of these media are possessed by the betrayals/gvt...) people can be sensitized to come on street for their rights

2) The gvt machineries (Jeshi/Polisi) need to support tanzanians (need to be on the side of demonstrators) there we should assess they stands for the time being and persue them to support Tanzanians in this time of controversy

3) Opposition parties to unite (call a joint meeting and discuss on common matters to be claimed of) there after arrange date for a demonstration

4) It will sound awkwardly to have an election 2015 with this current constitution/ we need to calim for it now as I see all means of delay in place to have it or not before 2015.
 
mh!sioni mwanga......kila kitu changa la macho tu hadi kwenye uhai wa watu??:hand::hand:
 
Kweli watu sijui tuna mashetani au upumbavu? Mtu umeshaambiwa kule mbagala wanajeshi walikua wako katika shughuli za kijeshi hapa g. mboto wanajeshi walikua mapunziko sasa wangefia wapi? Umeshasema mwanajeshi lazima atakua amepewa mbinu nyingi za kivita na kujihadhari mara tatizo linapotokea.

Mtu anadiriki kusema eti Wanajeshi hawataki kufanyika kwa uchunguzi je uchunguzi unaofanywa ni wa kitu gani? tuache ulimbukeni.

Mtu anasema ndege hazikuruka masaa manne au matatu kabla ya tukio wakati mimi nimetua pale saa 2:30 usiku nikitokea Kilimanjaro. Hata hivyo kuna ndege ngapi zinatua Dar hasa nyakati za jioni nakushauri ukaangalie roster ya safari za ndege oale airport uelewe siyo uropoke uongo kama utakavyo. Mimi nilifurahi kwa kuwa kitengo cha control walifanya kazi za kijasiri mara tu baada ya kusikia mabomu yanalipuka na kupata taarifa kutoka jeshini walitaarifu ndege zilizokuwa kwenye line kwa wakati huo ambazo hazizidi tatu yaani, Swiss air, KLM na KQ.

Eti ilikua hujuma, ndugu hujuma lazima alipanga hujuma hiyo angejitoa mhanga. Alafu ukitafiti kuhusu mabomu yaliyolipuka ingekua ni hujuma yaani mtu anapanga kufanya hujuma gongo la mboto ingegeuka jangwa yaani isingekuwepo. Tuache uzushi hii nchi ni yenu msitake kujihadaa.

Kuna mtu anasema ameona barua ya majeshi kutaka hela ya kuhamisha mabomu wakanyimwa sasa kwanini asipeleke kwa Ocampo watu wakashtakiwa? Tuache unafiki wa itikadi za kisiasa hasa kwenye usalama wa nchi.

Eti wanajeshi hawakufa wala ndugu wala marafiki zao. Acheni uongo uliovuka mipaka kama unaongea ukweli basi wewe utakua mhaini na gaidi maana ulitaka wafe zaidi ya hao 27 yaani 100 wakiwemo majeshi asilimia kubwa. Ndugu katafiti kujua ngugu wa waliofariki utagundua wapo ndugu wa wanajeshi vilevile waliokufa au waliothirika. Nyie ndiyo wale mnaodai lockerby ni hujuma.

Mtu anauliza eti hapa nchini ni salama pa kuishi kweli? Nakushauri uhame nchi uende ambako ni salama. Ukishindwa subiri raisi unayemtaka aingie madarakani ahamishie silaha na vikosi vya jeshi nchi nyingine ili nchi ibaki salama.
 
Back
Top Bottom