Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

Status
Not open for further replies.

Kwiyo

Member
Mar 9, 2014
64
11
habari za mchana wana jf
hivi jaman kuna Mtu yeyote aliye na tetesi juu ya lini majina waliomba ajira jeshi LA polisi kwa upande Wa professional
 
Mimi nadhan tuwe na subira kama kazi zilitangazwa na watu tukatuma maombi basi hata usaili utakapoanza tutapewa taarifa.
 
nawashukuru ndugu zangu wana Jf kwa kunijuza hilo maana nilidhan wameshaitwa kimya kimya Ila atakaepata feedback mpya atujuze nasi
 
Ibravo kasema 2013/ 2014, ila kwasasa hakujua kama kuna 2014/ 2015 wanaosubilia kuitwa

mdau maelezo kidogo hio academic years 2014/2015 bado hata wiki tangu t.c.u ifanye yake
my son raise ur sons, dats only will left by my dad
 
Sawa
Vijana hawakati tamaa..
Sema stori zinakua nyingi
Mara wa kumi mwishoni,sasa wa kumi na moja...
 
Mbona graduates wote wa 2013/2014 wameshaenda depo!!

Wameenda lini? toa ufafanuz watu wakuelewe mkuu jamaa yuko serious na swal lake! au waliita kimyakimya? Hao 2013/14 wapo kazin now, tunaozungumzia ni 2014/15 usail ulikua lin maana hata hawa wa 4 na 6 waliofanya usail bado awajaita mpaka sasa! natanguliza shukran kusubil maelezo zaid toka kwako
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom