Jeshi la Polisi, Tanesco waongoza kwa rushwa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,111
pix.gif
1262340322_kova.jpg

WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), askari polisi na wafanyakazi wa Mahakama, ndio wanaoongoza kwa rushwa nchini, utafiti uliofanywa na Mtandao wa Concern for Development Initiative in Africa (Fordia) umeonyesha...
http://www.globalpublisherstz.com/habari_mbalimbali/
 
Jeshi la Polisi, Tanesco waongoza kwa rushwa

1262244723__fordiachair.jpg

Mkurugenzi mkuu wa asasi inayojishughulisha na maendeleo katika nchi za Afrika( FORDIA) Bubelwa Kaiza akitoa maelezo kuhusu taarifa ya utafiti wa mtazamo wa rushwa jijini Dar es Salaaam jana.​

WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), askari polisi na wafanyakazi wa Mahakama, ndio wanaoongoza kwa rushwa nchini, utafiti uliofanywa na Mtandao wa Concern for Development Initiative in Africa (Fordia) umeonyesha...
 
Hiyo iko more traditional....! Wateja wa hizo sekta ni wengi...hasa jeshi la Polisi, hivyo chance ya kuwa na kiasi kikubwa cha rushwa ni kubwa pia kuzingatia mazingira ya utatuzi wa shida za wateja wao...! Lakini watafiti hao waje na estimates (in Tshs/TZS) za figures za hizo rushwa......usijekuta ni 0.5% ya EPA....! Wakati tunanyooshea vidole dagaa, tuthubutu kutaja na papa/nyangumi pia hasa katika taasisi za fedha, kandarasi nk
 
Manesi je? (Afya) wao ni wangapi kwenye orodha?

Natamani hizo hospital nazo wazibinafsishe ile nao waone machungu watakapo punguzwa kazi na kuachwa wale wano penda kutoa care na service nzuri kwa wagonjwa

tangu hii ripoti itoke trafiki wamekuwa wakali kweli ckuizi wanakulima faini tu juzi walinikamata kama cjaongea sana nasikia naulizwa jina lako cjakaa vzuri faini nikaona kumekucha police
 
Back
Top Bottom