Jeshi la polisi Ruvuma ni zaidi ya mnavyoweza lidhania

skendo

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
212
101
Wadau mimi sadhani kama tunahitaji akili nyingi ili kuweza juwa udhaifu wa jeshi ili mkoa wa Ruvuma.kumbukumbu zinaonyesha mkoa huu kuna askari waliwai kuvamiwa na kunyang'anywa silaa wakitoka lindo asubuhi.sasa swali kwanini askari wale awakwnda kuchukuliwa na difender zao kama inavyofanyika mikoa mingine?

Kuhusu matukio mkoa wa Ruvuma unamatukio mengi ingawa ya mekuwa haya ripotiwi kwa upana wake na ndio maana watu wengi wamekuwa hawajui nini kinaendelea mkoa wa Ruvuma ila kiukweli mkoa wa Ruvuma ni kama hamna jeshi la polisi,polisi wanafanya kazi kimazoea,polisi ndio wezi wakuu kwenye sait za jamaa wanaojenga barabara ya Tunduru-Songea,polisi ndio wababe wa mitahani ukijifanya kujuwa hakizako watakubambikia kesi kifupi Songea ni zaidi ya mnavyoisikia

KISIASA

Kisiasa ni mbaya zaidi chaguzi nyingi N'chimbi amekuwa akitumia ubabe kuibaka siasa ya mkoa wa Ruvuma mfano.Uchaguzi wa meya,chaguzi ndogo ya diwani matimila kuna kijana alipigwa nusu kufa.Sngea ni ngome ya ushirikina kwa viongoz.Mwakyembe anajua
 
ndugu yangu "skendo" haya mambo ya polisi kuvurunda ni kila sehemu na ni kama upepo unaanzia upande mmoja kuelekea upande mwingine- Kumbuka yaliyotokea kipindi cha Uchaguzi Arusha na hata baada ya uchaguzi, kumbuka yanayotokea migodini kama Nyamongo kule Tarime, Kumbuka mwaka jana pale jijini Mwanza. Shida ya hawa jamaa wako kimaslahi zaidi na si kuilinda jamii na mali zao kama "slogan" yao ilivyo!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom