Elections 2010 Jeshi la Polisi ndani ya Matope...Hii kali ya Karne

Hilo ndilo jeshi letu linalolinda usalama, je hilohilo jeshi ndo litalinda kura zetu zisiibiwe?
 
Mengi muda ndo huu wakupambana na mafisadi siyo asubili watu waingie madarakani aanze kusema fulani ni fisadi huo ni unafiki tuuu!
 
Anasema mtu ametenga bill 3 kukamilisha ilo.
Jamani ni ela nyingi sana izo
 
mimi nasubiri kama wataenda mahakamani kama alivyo waomba! kama hawataenda ni aibu kwa nchi! jamani kama hii kitu ni kweli kabisa tutamwamini nani sasa! Bilion tatu! tunahitaji mabadiliko! ndo maana wanang'ang'ania wana lao jambo nawaambieni! kama wanaweza kufanya hivi kwa mti mkavu, vip kwa mti mbichi?
 
hiyo ndo Tanzania yetu, wakati wengine milo mi3 kwa cku ni ndoto, watoto mitaani wanaongezeka na huduma za afya kudorora, wengine wanatenga billions kuyafanya yaliofanyika!!!!!!!!
poor soulz
 
Kwakawaida ya majeshi yetu siyo wawajibikaji mnakumbuka ya zombe mpaka aliposhikwa utosi wa shati!!wanaweza wakamezea!!subiri ila hii ni aibu kubwa ila kwakuwa lilishughulikiwa na Kova na Mwema kutakuwepo na matokeo mazuri!!tungojee!!
 
Ubaradhuli wa kutisha huu!! Kisa na mkasa wa kufanya haya ni nini??? Kuchafuana tu?? Kama kinara wa haya mauzauza ni mmoja wa mafisadi aliowataja Mengi, basi ni jukumu lake kwa sasa kuwabwaga chini akianza na Rais Kikwete (ILA HAKUMTAJA KWA HESHIMA YA URAIS WAKE NAHISI) . Nimeona katika taarifa za habari za TV yake wakikibeba sana hiki chama cha mafisadi (CCM). Ni wakati muafaka kwa bwana Mengi kujiunga na watanzania wazalendo kuhakikisha CCM inafanyiwa mazishi ifikapo mwishoni mwa mwezi huu kwa kuvitumia vyombo vyake vya habari n.k.

Mengi usiwabebe CCM hawabebekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Si unaona wafadhili wake wanavyotaka kukutengenezea skendo chafu??????
 
Mzee mengi, nadhani unastahili hili maana hueleweki wakati mwingine. Unauma nakupuliza. Mafisadi wanataka u-ume tu bila kupuliza. Ungana na chadema ktk vita hii. Mimi nakukubali kwa mengi ila wewe ni ccm damu. Sijui mwisho wako utakuwa vipi. Shime karibu chadema uwe mmoja wa wapiganaji wake.
 
Au ni mkono wa Aliojibizana nao kwenye Runinga?
Unamaanisha waziri wa mambo ya ndani Masha? Kijana hawezi kufanya hivi yuko busy na kampeni anatetea jimbo lake. Halafu kwa ninavyomjua, huwa hana tendency ya kuendeleza majibizano ya mda mrefu hivyo.
 
Uzuri bongo masikini ndio wanazo kesi za kujibu na hakuna wa kuwatetea. Kwa kawaida linapotokea tukio kunawashitakiwa wanatiwa nguvuni mpaka mahakama itakapothibitisha vinginevyo. Sasa wakubwa wakikamatwa tu noma.

Mzee Mengi anatakiwa pia kutumia hekima na Busara kabla ya kwenda public, Mzee Mramba, Chenge na Mungai mbona wanazo kesi na their big kuliko mtoto wa Mengi au hawana media?.
 
Back
Top Bottom