Elections 2010 Jeshi la polisi latoa onyo kupitia Clouds FM

Acheni uzushi jama.
Hilo tangazo limetoka hata kwenye vyombo vingine vya habari.
 
Kova you should stay away from this. Unashindwa kukamata wapiga debe, unashindwa kukamata majambazi na vibaka, hata wazee wa East African Community wamekutoa kamasi utaweza nguvu ya umma wewe? Kova nenda darasani kasome, ukisoma utajitambua na kujiona kuwa unachofanya ni kuwa karagosi na kibaraka wa mfumo wa utawala. Ukiendekeza hiyo unaweza kutoa amri ukakuta kati ya majeruhi kuna mkweo, babako mwanao etc ambao wanachukia wezi wa kura kwa dhati.

Kama watu wanataka kuandamana kwa ajili ya kupinga wizi wa kura huhitaji kuwashika wala kutoa onyo kama wewe ni askari kweli washike walioba kura usiwanyanyase walioibiwa kura.
 
jeshi la police limetoa onyo kwa vikundi ambavyo vinapanga kufanya fujo na maandamano kwani imesemekana kuna watu wanatoa fedha kuwapa watu ili wakusanyike kufanya vikao visivo rasmi na maandamano ya kuchochea vurugu, pia jeshi la police linaendelea kufanya upelelezi kumsaka mtu anayefanya kazi ya kulipa na kuandaa mikusanyiko hii. JESHI IMEPELEKA TANGAZO HILI CLOUDS FM NA LIMETANGAZWA KTK KIPINDI CHA LEO TENA NA DINA MARIOS. mh hofu sasa imetanda sijui itakuaje

Nafikiri hii ni mshangazo kidogo. Kama ikiwa mambo yalopo kufuatia uchaguzi na fununu ya uchakachuzi hayawasumbiui jeshi la polisi kufuatia na kuchunguza ila fununu za riot zinawadindisha, basi ni jambo la kushangaza sana.
 
Haturudi nyuma, na kama noma na iwe noma. Tunahitaji haki itendeke. Kila mtu anajua linaloendelea hata EU wameona ndo maana wakasema inabidi tukubali matokeo ili kudumisha amani. kitu ambacho binafsi ambacho kina gharama kubwa zaidi kuliko tukiwapelekea salamu kwa mwendo tofauti.

Agreed.
 
HUU NI UJINGA!!!!!!!
JESHI LA KUWALINDA WEZI NA MAJAMBAZI KAMA SISIEMU NA KUKAMATA WAPENDA AMANI NA UHURU!
FAXS THEM..THIS IS STUPIDITY!!:nono::A S angry:
 
Back
Top Bottom