Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

Sasa kwanini hawajamkamata jukwaani akiwa anahutubia Geita na Mwanza wanasubiri inakuwa mpaka baada ya siku kadhaa kupita au mambo ya intelijensia nini??...Halafu hivi wale washiri waliotishia uhai wa Lema endapo angekanyaga Arumeru Mashariki mbele ya Tendwa...Jeshi la Polisi lilichukua hatua gani dhidi yao????
 
Badala ya kukamata wahalifu waliowakata mapanga wabunge wao wanashughulika na Dr Slaa. Nchi hii kichwa cha mwendawazimu kweli

Mkuu Gerrad, jeshi la police Tz limepoteza muelekeo kabisa! Si unakumbuka kule Morogoro Naibu waziri Adamu Malima mbele ya wandishi wa habari alitoa taarifa kumiliki SMG. Lakini kesho yake jeshi la polisi lilijitolea kukanusha kwamba Malima hamiliki bunduki aina ya SMG.
 
Aliondoka kinyemela?
Ndio mwendo gani huo?

Haya ndo matatizo ya kuwa na walinda usalama wa nchi wasio
jua kusoma wala kuandika aka standart 7.


Sasa walitaka awaage wake zao au?
Huu upuuzi kweli
Speaker hii post yako imenifanya nicheke mpaka mbavu zinaniuma, kuna binti mmoja yupo kwenye moja ya Taasisi nyeti nchi hii maarufu kwa kuchakachuwa kura, leo amenitumia msg kuhusu mambo yetu personal, sasa mimi nikamjibu tu COPIED!

Huwezi kuamini ilibidi anipigie simu na kuniambia hajanielewa mimi nakadhani ananitania kumbe ni kweli hajanielewa kabisa ndio ikabidi nimwambie kwamba kwa kiswahili labda ningekujibu msg yako kwamba nimekusoma. sasa unatalajia nini kama vyombo vya ki intelligence watu wanapewa kazi kwa misingi ya kujuwana na siyo IQ?
 
Rais wa watanzania,
mwenye hekima,
Dr. Slaa anaumiza vichwa vya magamba.

Hata Plato alileta ukombozi wa nchi yake baada ya sauti ya umma kuandamana kutokana na dola kumkamata,amani ya TZ hakika bado kidogo polisi wataipoza.
 
na yule sijui katibu wa CCM aliyemjibu na kusema wao wametoa msaa 24 yaani CHADEMA wakienda kukamata vijana wa CCM nao wataenda kukamata wao, nilimuona live kwenye TV wanamchukuliaje?
 
Naomba polisi waendelee na mtindo huu ili vijana wakomae kabla ya uchaguzi mkuu, tumeshateka vijana wa kanda ya kaskazini sasa ni zamu ya kanda ya ziwa, God Bless Lema.
 
Speaker hii post yako imenifanya nicheke mpaka mbavu zinaniuma, kuna binti mmoja yupo kwenye moja ya Taasisi nyeti nchi hii maarufu kwa kuchakachuwa kura, leo amenitumia msg kuhusu mambo yetu personal, sasa mimi nikamjibu tu COPIED!

Huwezi kuamini ilibidi anipigie simu na kuniambia hajanielewa mimi nakadhani ananitania kumbe ni kweli hajanielewa kabisa ndio ikabidi nimwambie kwamba kwa kiswahili labda ningekujibu msg yako kwamba nimekusoma. sasa unatalajia nini kama vyombo vya ki intelligence watu wanapewa kazi kwa misingi ya kujuwana na siyo IQ?

Sio utani.
Wanao enda jeshini ni wale walio feli na wamepoteza matumaini.
Wanao enda jeshi la polisi ni walio feli na wamepoteza matumaini.
Wanao enda usalama wa taifa,at least hapa wapo walio soma soma kidogo,
ila wengi ni walio feli sekondari.

Kwa mtindo huu unategemea nini?
Ndio maana mwigamba aliandika kwamba watumie akili zao,
nadhani alisahau kwamba hata akili ndogo sana hawana na
ndio maana hawakuelewa maana ya makala yake.
 
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza ametoa amri kwa dr.slaa kujisalimisha mwenyewe kituo cha polisi ili kutoa maelezo kwa kile kilichodaiwa kuwa ni uchochezi kwani alitoa siku saba kwa jeshi la polisi kuwatia hatiani wale wote waliohusika kuwacharanga mapanga wabunge wa CHADEMA.Anasema wameshindwa kumtia Dr.Slaa nguvuni kwani aliondoka Mwanza kinyemela hapo juzi kuelekea Dar.source star tv.

Wanataka kumaanisha kawaogopa? Mbona dar ni hapahapa Tz? Kama ni kumkamata ni vyema wangeanza na hao mafisadi 7bu hao ni zaidi ya wauwaji kwani hizo hela wanazoziiba zinasababisha vifo vya wengi sana kwa kukosa huduma mfano mahosipitalini nk.
 
am i getting it right?ok lest wait and c what they got to do next....hivi hawa ndo wale walopigwa na mgombea wa ccm kipindi kile afu hakukuwa na kesi yoyote?poor them
tunamwongeza huyu 'kamanda wa policcm mwanza kwenye list and from 2015 he'l have 2 pay for what he's doing....
 
Katibu Wa ccm Willson Mukama(a.k.a.Lusinde part two)aliwahi kutoa taarifa za uongo kuwa Chadema wameingiza makomandoo hapa nchini kutoka Misri/Yemen/Libya na kwingineko kuja kuiangusha Serikali ya J'K?Kauli hii sio ya uchochezi?Vipi na Yule naibu waziri Wa nishati na madini na SMG yake amevhukuliwa hatua gani?mbona sheria zinafanya kazi upande mmoja tu Wa chama cha upinzani Chadema?
 
Polisi wetu wanashangaza, rahisi ni kuanzisha kesi dhidi ya Dr Slaa au kuwakamata wahalifu waliovunja amani na kujeruhiwa raia?? Basi tukubaliane jeshi la polisi ni la kuliinda majambazi na si raia!

Ndivyo ilivyo kwa sasa!
 
Back
Top Bottom