Jeshi la misri la salimu amri

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
Baraza la kijeshi nchini Misri limesalimu amri na kukubali kuitisha uchaguzi wa raisi nchini humo mwezi July 2012 vilevile kukubali baraza la mawaziri kujiuzulu ambapo masaa machache yaliyopita waliwakatali!source Al jazeera
 
sisi tuna laana rais na waziri mkuu anatangaza sukari kilo sh 1700 hapo hapo uchumi supemarket wanatangaza kwenye radio sukari kilo sh 2300 bila hata kuogopa!
 
Back
Top Bottom