Jeshi la Marekani linaruhusu ushoga. CCM,JK,na JWTZ, wana msimamo gani??

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,408
54,886
..jamani jeshi la marekani linaruhusu ushoga waziwazi.

..wameondoa ile sheria yao ya "dont ask dont tell"

..itakumbukwa kwenye wikileaks, JK na Kapuya, walikuwa wakimpinga Gen.Waitara aliyekuwa akishinikiza JWTZ isiwe na mahusiano ya Kijeshi na Marekani.

..mimi napenda kujua CCM,JK,Hussein Mwinyi,Mwamunyange,na Shimbo, wana msimamo gani kuhusu JWTZ kushirikiana na jeshi la Kishoga la Marekani.
 
Blue: Hiyo haijaanza jana wala juzi kama ulikua hujui ni wewe tu na shangazi yako

Yellow: Kwani ulikua hujui??? we kutwa unakesha Tbc unadhani utajuaje??

Green: kwahiyo unataka kuniaminisha kua Waitara alikua ana tetea ushoga??? umesahau kua aliwahi kua millitary attachee marekani??? mbona Mark green former Us Ambassador bado yuko bongo, kwahiyo nae ana mgodi??? acha Umaa muma jununi wee
 
..Waitara alikuwa anapinga JWTZ kuanzishwa kwa mahusiano ya kijeshi kati ya Tz na Marekani.

..kwenye wikileaks inaelezwa kwamba JK na Kapuya walikuwa wanapingana na msimamo na ushauri wa Mkuu wa Majeshi, Gen.Waitara.

..kwa mtizamo wangu, JK alifanya makosa kuanzisha uhusiano wa kijeshi na USA. Zaidi alikuwa na nafasi ya kurekebisha makosa hayo na ikusitisha mahusiano ya kijeshi na marekani baada ya USA kuruhusu mashoga wa-serve tena waziwazi.
 
Kwa wale tunaopenda DOMokrasia la aina ya USA, UK, France nk hayo ya ushoga ni sehemu ya "haki za binadamu" na domokrasia yenyewe.

Na hapo bado, hawajaja rasmi kulinda raia wetu na kuweka no-fly-zone.
Sasa hili si suala la CCM, au JK au JWTZ. Ni saula la watanzania wote na Taifa la Tanzania. Ni suala la kitaifa. Wakiachiwa CCM,JK na JWTZ kuamua juu ya hili ni wazi tunaelewa kuwa hawawezi kuacha kutembeza "bakuli".

Kauli imeshatoka anaetaka bakuli lake lijazwe basi lazima "atekeleze haki za kibinadamu". Mpaka hapa utakuwa hujapata msimamo au jibu kutoka kwa hao unaotaka wajibu hoja yako?

Hili la ushoga kama haki ya kibinadamu mwishowe italazimishwa iwekwe kwenye katiba ya kila nchi. Hii ndio faida/ hasara ya kuiga "ustaarabu" wa waharibu maadili.
 
Back
Top Bottom