Jeshi la CCM...

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Hivi hii inakaaje? Dr. Slaa ukipata muda hebu pitia hapa na utupe maelezo zaidi. Pia watu kama Zitto, na wanasiasa wengine mliopo hapa JF. Ninashindwa kuelewa kama CCM ambacho ni CHAMA, inakuwaje kiwe na jeshi lake? Licha tu ya kuwa na jeshi, ila hadi wana magwanda.

IM++5376.JPG

Pichani, Rais akikagua wanaJESHI wa CCM.

Hapa chini ASKARI WATOTO ambao wamekuwa wakituhumiwa sana duniani. Sijui kama ni vema kuwapatia watoto namna hii silaha......... Rais SLAA njoo uwanyang'anye SILAHA.

1.JPG
 
Bad picture. Kule kanda ya ziwa kama mnakumbuka walifanya kabisa mafunzo. Hao vijana ndio waliohusika sana na fujo zilizotokea mwaka jana baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Nahisi CCM wanaweza kusababisha umwagaji damu katika maeneo ambayo watashindwa.
 
Hapa chini, BOSS mpya ambaye cheo chake jeshini kilishindwa kujulikana ila mwandishi alisikika akisema kuwa huyu ni KAMANDA.

DSC_0456.jpg
 
Hapa chini, BOSS mpya ambaye cheo chake jeshini kilishindwa kujulikana ila mwandishi alisikika akisema kuwa huyu ni KAMANDA.

DSC_0456.jpg

Wakuu hivi rizwan naye ni kamanda huko? MS lete jibu mkuu.
 
Hivi hii inakaaje? Dr. Slaa ukipata muda hebu pitia hapa na utupe maelezo zaidi. Pia watu kama Zitto, na wanasiasa wengine mliopo hapa JF. Ninashindwa kuelewa kama CCM ambacho ni CHAMA, inakuwaje kiwe na jeshi lake? Licha tu ya kuwa na jeshi, ila hadi wana magwanda.

IM++5376.JPG

Pichani, Rais akikagua wanaJESHI wa CCM.
He he he! umeona huo mwendo wa huyo amiri jeshi anayekagua hilo jeshi? hebu mwone simba wa vita alivyokuwa kakamavu
 
Huyo jamaa hapo anaonekana kashapata Juice la Tende. Akiacha kazi sasa atalinywa hadi limkome.

attachment.php

Kawawa alikuwa na nguvu zake wewe. Ukitaka ukakamavu wake, Mwuulize Mke wa Msekwa maana juzijuzi ndiyo nimekuja kupata habari kuwa Tanzania kuna watoto ambao, baba zao ni Mawaziri, baba wa kufikia ni PM, baba wa kambo ni Spiker wa bunge ...........................

He he he! umeona huo mwendo wa huyo amiri jeshi anayekagua hilo jeshi? hebu mwone simba wa vita alivyokuwa kakamavu
 
Kawaambie Mafisadi woteeee.............. Call the FFU when you see Slaa..... Nguo zake zinatisha.

siasa%2Bsi%2Buaduwi.JPG

zmee hao lkn si ndio vionozi, kazi ipo pale chadema, wanamagandwa mpaka majirani sasa wanaogopa
 
"Rais akikagua wanaJESHI wa CCM".

JESHI????? No it can not be. Ebu tafuta sifa za kuitwa Jeshi? Utaona kuwa gwaride hilo si la Kijeshi bali ni la kiraia. Jeshi ni jambo kubwa bwana. Usifanye mchezo.
 
"Rais akikagua wanaJESHI wa CCM".

JESHI????? No it can not be. Ebu tafuta sifa za kuitwa Jeshi? Utaona kuwa gwaride hilo si la Kijeshi bali ni la kiraia. Jeshi ni jambo kubwa bwana. Usifanye mchezo.

si Jeshi la chipukizi hilo?
 
Ama kweli siasa imekuwa kama taarab za mipasho siku hizi. Hilo la nguo ni kitu kidogo ila cha kustaajabisha na kuhuzunisha ni watoto wadogo kubebeshwa mitutu au kuongozwa na wakubwa wao kupiga kwata, kucheza na kuimba wakati wa kukaribisha wageni wa kisiasa badala ya kutumia muda huo kusoma na/au kucheza na watoto wenzao. Hii ni aibu na haina tofauti na jinsi hali ilivyokuwa katika nchi za kidekteta za kifashisti na kikomunisti.
 
Back
Top Bottom