Jesca Charles wa Twanga pepeta yupo wapi??

Yaani Watanzani mupomupo tu kila kitu mnanyan'ganywa na mabazungu...Mbelgiji kaondoka na mzigo...huyoooo.
 
hivi nae ni celebrity?alikuwa mzuri kama aisha madinda?

Yep, ni ZAIDI ya AM - Aisha Madinda kwa mbaaaaaaaaaaaaaali sana.

Baba Enock acha kabisa, kumfananisha Aisha Madinda na Jesca ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi!

Aisha Madinda huyu hapa!
Mnaolinganisha endeleeni.

AISHA-M1.jpg

Aisha Mohamed Madinda
 
Aisha Madinda huyu hapa!
Mnaolinganisha endeleeni.

AISHA-M1.jpg

Aisha Mohamed Madinda
Naona anazeeka sasa!
Ni Aisha Mohamed Mbegu...Madinda ni jina la Ujiko tu jamaa alipo kuwa ana service mzigo.
 
Wazungu huwa hawajali vipolo ..Nadhani sisi tumezoea kwamba demu akipigwa sana hafai kuwa nae.. Wazungu hawajali kwavile wana kwenda kuwapiga double impect Wakijua bado wanaume wa kibongo tulio wengi waswahilina.
 
Fafanua hapo penye rangi nyekundu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom