Jerry Silaa anaswa kwa rushwa Iringa

Status
Not open for further replies.
chama cha majambazi, rushwa ni kwao ni thawabu. Hakuna uchaguzi ccm, kuna mnada tu, mwenye pesa ndio mwenye kununua.
 
6.jpg

Ndio maana huwa napiga hoja ya vijana, kuwa ndio wakati wa "kutawala" throu nami kijana
tena hawa wenye mavazi ya kijani ndio kabisa ok hii hoja huwa anaidadavua vizuri Mzee Mwanakijiji
 
Kwani aliingia kwa style hii hii nini kwenye hiyo ofc aliyopo sasa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom