Jerry Silaa anaswa kwa rushwa Iringa

Status
Not open for further replies.
Hili jina la huyu jamaa naona linampa umaarufu tu. Maana otherwise mi nisingefungua hii thread..

Mkuu Ramos, nimefungua hapa nikisema moyoni liwalo na liwe, nianze kumvurumishia matusi mwanzilishi wa thread hii kwa kuleta uzushi dhidi ya Rais wa mioyo yetu. Kumbe thread yenyewe inakihusu Ki- Slaa cha magamba! hiki kidogo magamba kilazimishwe kuanza kulipia jina la (Trade Mark) Slaa maana kimeanza kulitumia vibaya.
 
Mimi na Mke wangu tunategemea kupata mtoto wa kiume next month (According to utra sound examination).

Mimi na Mke wangu tumekubaliana huyo mtoto wetu tutamuita BARAK OBAMA!

Mdogo wake OSAMA! Kitinda mimba SADDAM! sasa kazi unapowaita SADDAM kamwambie OBAMA aache kupiga kelele OSAMA kalala!!!!!
 
nilitaka kushangaa, Slaa wa ukweli si yule kule kanda ya Ziwa? huyu dogo inawezekana hata hiyo nafasi aliipata tu kwasababu ya hilo jina, vinginevyo sidhani, hata hivyo, kwanini wamshike, kwani rushwa kwa magamba si ni sehemu ya ibada yao?
Naweka mkazo hapo kwenye red...uko sahihi mkuu 100%:lol:
 
Kwakweli si shangai kwa yeye kula au kutoa rushwa maana ni mwana ccm.

Kinachonishangaza ni heading yako!
 
By the way hiki kijamaa kinaitwa Jerry Silaa na Rais wetu mpendwa ni Dr. Slaa
 
Mimi na Mke wangu tunategemea kupata mtoto wa kiume next month (According to utra sound examination).

Mimi na Mke wangu tumekubaliana huyo mtoto wetu tutamuita BARAK OBAMA!
Utumwa wa fikra ni mbaya sana na ndio umelifikisha taifa hapa lilipo
 
Kwa msiyomjuwa huyu Jerry Silaa alifanikiwa kumuangusha Abuu Jumaa kwenye kugombea umeya wa Ilala kwa gharama kubwa huku Mzee Mengi akifadhili sinema nzima chini ya uratibu wa Lowasa. huyu mtoto ni wakuangalia sana hapa ndio tunaotesha mbegu ya majambazi ya baadae.
 
Hivi ccm mapesa ya kutoa rushwa wanatoaga wapi? Kama katumwa na magammba hawawezi takatakakuru kumshitaki.
 
Itakuwa ni tetesi tu:TAKUKURU hawawezi mkamata kigogo yyt wa CCM kwa rushwa!
 
Niliogopa kufungua thread ila nikaona nitoe wazo wakusanyikapo wawili watatu mungu yu pamoja nasi
je ushasikia kesi ya rushwa ccm amefungwa mtu ...??
 
Kwa msiyomjuwa huyu Jerry Silaa alifanikiwa kumuangusha Abuu Jumaa kwenye kugombea umeya wa Ilala kwa gharama kubwa huku Mzee Mengi akifadhili sinema nzima chini ya uratibu wa Lowasa. huyu mtoto ni wakuangalia sana hapa ndio tunaotesha mbegu ya majambazi ya baadae.

After all si anatoka CCM.. Tunaposema CCM stands for Chama Cha majambazi au Chukua Chako Mapema wanadhani tunatania?

Tanzania yenyewe ni majaabu saba ya dunia.
1.watoto kufaulu huku hawajui kusoma wala kuandika.
2.rushwa njenje kwenye chaguzi
3.rais kusafiri nje mara nyingi huku akiwa hajafika mikoa yote tokea awe rais
4.nchi ya tatu kwa kupewa misaada na ya mwisho kwa umasikini.
5.
6.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom