Jerry Muro: Kwa mwenye media aliyetayari tufumue uozo wa nchi hii aje tufanye kazi !

Jerry Muro akihojiwa katika kipindi cha weekend Chartshow cha CLOUDS TV.Alisema toka kes yake imeisha yuko huru na kwamba mwenye media yoyote aliyetayar kufumua uozo wa nchi hii kama deal la mgao wa umeme n.k aende wakafanye kazi....

Nimependa maono na mtazamo wa Jerry Muro, testimony yake is a revelation to us; inatufungua macho na ubongo kwa kiasi fulani japo yule binti aliyekuwa akiongea kiswanglish kwa mbwembwe nyingi alimuharibia kwa sababu huyo binti hakuwa na input yoyote ya maana isipokuwa mbwembwe zisizo na hoja!! nawashauri Clouds wajifunze kuchagua target audience yao kulingana na maudhui ya mada husika; waepukane na watu wa aina hiyo wanapokuwa na mtu studio anayekuja kuzungumzia mambo mazito kama ya Muro; that was a serious topic, kijana anajitoa mhanga kwa ajili ya utaifa halafu mnaweka msanii studioni inapoteza interest ya watu makini kuendelea kusikiliza kiingereza chenyewe hakijaiva vizuri! jamani hebu tuwe serious katika mambo ya msingi, sio sahihi kuendesha show kama ile kama master j anavyoendesha auditions za epic bongo star search; maudhui ya vitu hivyo viwili ni tofauti kabisa! nawapa point 7 out of 10; A good show lakini iandaliwe kwa umakini zaidi. Pole sana Jerry Muro kwa mkasa uliokupata; only take strength from the fact that hakuna mapinduzi (read mabadiliko) yasiyokuwa na wahanga.
 
...Jerry ni mpambanaji kwa yote aliyopitia mwenyezi mungu amlindee aendele na jitihada hizo mpaka kieleweke nimeipenda interview yake na vijana wa clouds. KEEP IT UP BRO
 
Atumie tu vyombo huru, vyombo visivyoogopa kuuweka ukweli hadharani, kufumua uozo huo...
ila awe na tahadhari wasije wakammaliza kabisa... maana sasa wakimkamata mbaya wao watahakikisha kichwa wanatenganisha, isijetokea kama walivyomfanyia Ulimboka: walidhani wamemmaliza kumbe yu hai, sasa anawapa headeache, ndo maana wamejificha chini ya mwavuli wa mahakama..

mpe pia angalizo ndg, Muro, aacha tabia ya kupenda anasa na kutumia jicho na meza ya media kujipatia fedha kwa vitisho, zitamtokea puani.
 
Nimependa maono na mtazamo wa Jerry Muro, testimony yake is a revelation to us; inatufungua macho na ubongo kwa kiasi fulani japo yule binti aliyekuwa akiongea kiswanglish kwa mbwembwe nyingi alimuharibia kwa sababu huyo binti hakuwa na input yoyote ya maana isipokuwa mbwembwe zisizo na hoja!! nawashauri Clouds wajifunze kuchagua target audience yao kulingana na maudhui ya mada husika; waepukane na watu wa aina hiyo wanapokuwa na mtu studio anayekuja kuzungumzia mambo mazito kama ya Muro; that was a serious topic, kijana anajitoa mhanga kwa ajili ya utaifa halafu mnaweka msanii studioni inapoteza interest ya watu makini kuendelea kusikiliza kiingereza chenyewe hakijaiva vizuri! jamani hebu tuwe serious katika mambo ya msingi, sio sahihi kuendesha show kama ile kama master j anavyoendesha auditions za epic bongo star search; maudhui ya vitu hivyo viwili ni tofauti kabisa! nawapa point 7 out of 10; A good show lakini iandaliwe kwa umakini zaidi. Pole sana Jerry Muro kwa mkasa uliokupata; only take strength from the fact that hakuna mapinduzi (read mabadiliko) yasiyokuwa na wahanga.

Nakuunga mkono!
 
Kwel kabisa,lakin ndio uwe tayar kuuwawa!

tukishakuwa wengi tayari kuuawa ndipo mageuzi yanapotokea. Ndo maana watu kwa wenzetu wanaandamana kila siku kupinga udhalimu licha ya kupigwa. Napenda sana kuishi arusha. Wale vijana ukiwakoki tu wako tayari kuandamana muda wowote. Wengine wote hamna kitu.
 
hao vijana wa arusha huko unga ltd na kwingineko wengi wao ni wavuta bangi wasio na shughuli za kufanya . wana ndoto za kuwa matajiri kwa kutumia moshi wa bangi. baadala ya kuwakoki waandamane unaonaje ukawakoki wasome, au watafute kazi halali za ku keep busy kwa ajili ya maisha yao
 
Back
Top Bottom