Jerry Muro apokewa kwa shangwe na BAVICHA

nope nawafahamu kwa asilimia nyingi kabisa, actually mimi ni mjumbe na najua operation iliyofanyika ili kupata wajumbe safi, vijeba wote waling'olewa
 
kwani kwako wewe umri wa mtu unapimwa kwa uchakavu wa sura yake au idadi ya miaka yake aliyoishi? Kama vipi tunaweza kumuongezea umri mzee pinda kulingana na muonekano wa sura yake je tutakua tumepatia?
 
YEESS....tunahitaji sana akili na ubunifu wake...yapo mambo mengi sana amefanya dhidi ya dhuluma na ufisadi hata katika jesho bovu la polisi ila wakamhujumu ili kumvunja nguvu...!

Sana ameingia ktk kundi la ukombozi na mabadiliko, kinga yake ni umma wote wa watanzania, period!
 
daaaah kweli chadema ni hataree,yaani inazidi kusheheni majasiri,yaani kila nikiangalia sioni ccm wanarukia wapi
 
jaamani mnamsingizia JK wa watu, yeye bado kijana, ndo maana ni moto wa kuotea mbali kwa dada zetu!
 
Aaaa wapi, hao wote wana vyeti vipya vya kuzaliwa halisi vya zamani wamevichoma.Kaka hao wote ni toleo la 1962-1970 ni vijeba kwa kwenda mbele.

Sometimes experienceis a bad teacher! Are you referring to your ousted CCM Youth-wing chairman? jina lake Masauni au siyo? Umejikata nyondo mwenyeweee!!
 
Back
Top Bottom