Jerry Muro amlipua Masha

inahitajika nguvu ya ziada kuwashinda waonevu mwombe Mungu sana atakushindia pekeyako huwezi.
 
Hii kesi naichukulia kwa sura tofauti
  1. Ni kweli waheshimiwa hawakufurahi kumulikwa hivyo wakipata nafasi kama hii lazima wambane
  2. Ninavyoona kuna ka-ukweli ndani yake, pengine hali halisi sio kubwa hivyo na pengine imekuzwa ila kasababu wamekapata
    1. Ndo maana Lau alijiamini kwenda mpaka ofisini kwa Jerry
    2. kuna wakati Jerry katika kujitetea amesema Wage hamjui
    3. Sehemu nyingine anasema alikuwa ameachishwa kazi (Wage) hivyo kwake haikuwa dili (habari) - hapa inanitia shaka!!!
  3. Kushtakiwa na hata pengine kufungwa sio mwisho wa maisha, hivyo ndugu yetu Jerry, nakuombea kila la heri na naamini haki itatendeka na haki zako ulizozikosa zitakuja tu. Maana wahenga walisema, huwezi kuzuia haki ya mtu, ila utaichelewesha tu
Kila la heri Jerry
 
Muro ni mwana mapinduzi na alifichua mengi na ndio maana akawaudhi mafedhuli wa nchi hiyo, hata akifa tayari kaishatoa mchango ambao wengi tumeuona, mi nampa moyo pamoja wazalendo woote, ipo siku haki itasimama tu.
 
nchi hii ni kuwa mwizi na ushirikiane na mafisadi la sivyio ndo kama ya Muro.but there is one day kwa utawala huu kuondoka.
 
Mi nahisi utaachiwa soon maana uchaguzi ushapita kaka.
All the best siku zote haki husimama ila kama unayotuhumiwa nayo ni ya ukweli!!...basi wahitaji miujiza ya mungu zaidi ili uweze kushinda.
 
nasita kusema jery muro ni janja ya serikali kuhamisha watu kutoka kujadili mambo ya msingi............kipindi serikali imebanwa tulisikia mabomu gongo la mboto hapo pinda akaokoko, babu wa loliondo na vingine vingi kuna wakati mwingine taifa linaweza kufanya mambo kuamisha watu sehemu zake.............

kwanini nasema hivyo

jerry muro kama mwanahabari mpaka leo sijafahamu kwanini alikimbilia ununuzi wa pingu na zana zingine kama pistol ata kabla ajawa mtu mashuhuri hii ni toka akiwa mfanyakazi wa mengi (ITV)

kuna mengi yaliyojificha lakini ata mawasiliano yake na wahusika wenzake yanatia shaka
 
Kwa vile Muro amefikiwa na janga hili (tena la kutengeneza) akiwa ktk harakati za kutetea wanyonge,I asure him kuwa god is with him wakati huu wote wa kesi hii!
Very sorry Muro for this men made tragedy!
 
kupitia kesi hii jerry Muro anaweza kuibuka shujaa mkubwa na kufuta machungu yote in short time! Hakuna wakati muhimu ktk maisha ya carrier ya murro kama sasa.akiteleza tu kwisha biashara yake.take care bro!
 
pingu na bastola sio issue kabisa wakuu,kazi ni tuhuma za rushwa ambazo mpaka sasa ushahidi ni wa kuunga sana ingawa si wa kupuuza pia!
 
pingu na bastola sio issue kabisa wakuu,kazi ni tuhuma za rushwa ambazo mpaka sasa ushahidi ni wa kuunga sana ingawa si wa kupuuza pia!

sisemi kuwa vitu hivi vinazuiliwa lakini kwa mazingira ya kawaida wewe unaweza kwenda dukani kununua pingu kwa matumizi gani? kuna wakati lazima tufike na kufikiri kila mazingira yanayozunguka tukio kwani ni muhimu kuliko tukio lenyewe
 
pole sana jerry maneno yao yatawageukia hakuna siraha itakayo amka dhidi yako ikafanikiwa,mungu kama alivokuwa na musa hata kuacha kamwe mwome bwana YESU ndio mtetezi wako wa kweli..huoni wameshaanza kuanguka?na badooo mengi yatawajiaaaa wayategemeee
 
Vyote vinaelezeka baba jerry. ila pingu tuu ndo sielewi !

Sasa akishika mtu anayemtakia mabaya amfunge na nini? Kwani kuwa na Pingu ni kosa la Jinai zaidi ya kuwa na Bastola au Panga?

Yaani sisi Watanganyika tuna Mambo; Wanawake Prostitute wana Pingu nje nje, why not a regular person???

Mnaweza kutuambia kuwa na pingu inamaanisha nini? Kwasababu Mnashangaa lakini Hasemi kwa nini...
 
Mungu wetu ni mwaminifu sana, na sikuzote mungu husimamia haki.
Ninaamani kabisa kwa moyo wangu kua Jerry Muro anahaki,
mimi binafsi nampenda sana na sitaacha kumuombea mungu amsimamie,
na hakika atashinda na atakua huru na kazi atapata tena. Nahao waliomfanyia fitna na wanaomuombea mabaya mungu atawaabisha.
 
Mtamtetea sana muro kwa ushabiki but b4 the court of law ana case ya kujibu na ushahidi uko wazi
 
Back
Top Bottom