Jerry Muro amlipua Masha

...............Kati ya mtego amabao Muro kashikwa ni huu,ana kazi kubwa sana kuchomoka katika domo la nyoka huyu(SERIKALI)...nadhani tusubiri tuone....Nakuombea heri Kaka yangu Jerry Muro..
 
jerry kwa kuifanya kazi yake vema leo watu wale waovu wanadhamira ya kuhakikisha hachomoki na kuitumikia taaluma yake kwa ujasiri na uwezo aliojaaliwa na Mola wetu.
 
Ama kweli serikali yetu na sheria zinazowabana watu wa chini na kuwasafisha mafisadi akina chenge, lowasa, rostam, Jk, . Mungu mlinde na umwokoe mja wako Muro
 
hilo la kumiliki pingu .... sasa kama kila mtu atapata mwanya wa kumiliki pingu itakuaje.
 
hilo la kumiliki pingu .... sasa kama kila mtu atapata mwanya wa kumiliki pingu itakuaje.[/QUOTE]
Mbona unashangaa pingu wakati anamiliki bastola, mimi sioni ubaya kumiliki pingu wa mtutu bora uwe umefuata sheria katika kumiliki.
 
Pingu na Jerry wapi na wapi alikuwa na lake jambo huyo
Hata hao waliochora kesi hii wanajua fika kuwa watu wasiowazia kilichopo nyuma ya pazia ni wengi na wataishia kumhukumu hata kama hana hatia. Kaka waza zaidi ya hapo unapofikia utajua kwanini Jery anaonewa. Hii kesi ni sawa na mwizi kumshtaki aliyemwibia akiwa na ushahidi wote wa kumfunga huyo aliyemwibia. Maajabu ya dunia, kama kila siku unawaza jua linatoka mashariki tu likitoka magharibi utasema sio jua kumbe ni jua tu ila akili yako ndio imechanganywa na mazingira ulipokuwepo.
 
Pole kaka, kama haki ni yako itacheleweshwa tu lakini ipo siku itakufikia. Afadhali ungebaki kule kwa Mzee Mengi maana wanamuogopa yule, cjui zile tuhuma za mtoto wake kuwekewa madawa ya kulevya wamezizima vipi.
 
Dah!! Mungu yupo hata kama haki haitotendeka hapa mavumbini...cku moja kipimo wanachompimia kitatumika kwao pia....
Mijitu inauza mashirika ya kodi zetu inapewa likizo za malipo..Jerry had kazi kafukuzwa!! Dah
 
Mungu akubariki JMuro
Utashinda na wabaya wako ambao ni mafisadi watashindi
Tangu utoke kipindi chako hakina mana tena
Mungu akuongoje kaka yangu jipe moyo nimajaribu 2 utayashinda
 
Haki ya mtu haipotei. Mungu atakuinua kaka yangu, keep on praying. Maelezo yako yanatia uchungu sana. Jamani kwa wanaoshangaa muro kumiliki pingu, eleweni kuwa si kosa kisheria hapa tz mradi ufuate taratibu.
 
(“Kabla ya kuachishwa kazi nilikuwa nalipwa pesa kidogo, lakini walipomuondoa Tido hata kile kidogo nikawa sipati na hata zawadi yangu ya MCT hadi leo sijapewa,” alidai Muro.)

Kwakweli inasikitisha huyu mtu anatuhumiwa tu, lakini tayari wamemfukuza kazi! Mbona jairo anavuta mshahara, mbona Liumba aliendelea kuchukua mshahara mpaka hukumu ilipotolewa? na hao wakurugenzi wa wanyamapori mbona wamesimamishwa kazi lakini wapo kwenye nyumba za serikali huku wakichukua mshahara? huyu wameacha kumlipa kwasababu alikuwa anawagusa wakubwa? Jamani ni lini huu uonevu utakoma? nimesikitishwa sana na utetezi wake inaelekea Tido aliagizwa asimpatie mshahara lkn akakaidi, huyu Mshana amemchinjia baharini. POLE SANA NDUGU YANGU ILA NAAMINI KAMA HUKUTENDA KOSA BASI UTAKUWA HURU SOON NA HAKI ZAKO ZOTE ZITAPATIKANA .
 
Back
Top Bottom