Jerry Mulo ahojiwa na polisi Iringa

safi sana jerry,komaa nao wenye ujasiri kama wewe ni wachache sana Tz
wengi ni maneno tuuu vitendo hakuna,na wengi wamekaa kiccm-ccm tu (kijambazi)
ndo mana mtu kama jerry anakatishwa tamaa na watu km nyie mnaomshangaa

ata akipotezwa damu yake na wachache wenye udhubutu km wake itaikomboa Tz dhidi ya dhulma hii
sasa hebu fatilieni ili suala la sticker za "nenda kwa usalama" ndio mjue ushenzy uliopo.....

dah ivi shida ya network voda ni nini hasa
 
Jerry nampa big up sana, habari yake ile ilisaidia sana kupunguza unyanyasaji na majivuno ya askari polisi iringa waliyokuwa nayo dhidi ya madereva ambao wengi wao ni std7 so hata uelewa wa haki ndogo ndogo tu ni shida, jamaa pale check point Igumbiro walikuwa miungu watu, sumbua sana madereva kwa vijimambo visivo kichwa wala miguu maadam tu wachomoe pesa! shenzi sana polisi wale baadhi walifukuzwa kazi akiwemo Mud
 
Lakini ingekuwa vema kama tungeweza kujua ni nin hasa kilichompelekea yeye ashuke kwenye gari na kutaka kuwapiga picha askari wa barabarani. kuna kitu kilichofanywa na hao askari ambacho ni kinyume na sheria au unyanyasaji fulani..hivi..mtoa mada angetufumbua macho kidogo kuhusiana na hili sakata mpaka huyu mwanahabari alazimike kufanya alilolifanya. haiwezekan ashuke tuu na kuanza kupiga picha na pia hao polisi wampeleke kituo kwa mahojiano. kuna namna walitofautiana lugha......mtoa mada du ze nidfuli tafadhali
 
Ujasiri wa Kuwapiga picha POLISI bila idhini huo ni uchokozi kama alikuwa anafuatilia issue basi angetumia mbinu. Mara nyingi nimeona watu wanalalamika wanapopigwa picha bila idhini yao seuze Polisi angallieni waungwana.
 
Mi nathani ni sawa kuwapiga picha polisi,kwa maana wanatakiwa kuwa clean.
Labda tu wakiwa kwenye special oparations.Nchi nyingi duniani polisi unawa-
piga picha na wakikuona wana tabasamu.
Wakikataa kupigwa picha imaana ni waovu.
 
Back
Top Bottom