Jeri Murro umewakosea nini TBC1?

i love that byabato!we are fool extreamly compared to others, JERI MURO, IT WAS CONSIPIRACY MOVE TO WEAK HIM!
 
dogo si wakwao yule ni shushushu tu amelaza watu na njaa watoto kuteseka wazazi wao kukosa ajira akijisafisha na rushwa damu zimemlilia naye ngoja aonje utamu pumzika kwa amani jeri muro
 
Kweli ukiamua kupambana na rushwa uwe makini maana serikali yenyewe ni ya wala rushwa.Jeri Muro alitakiwa awe makini hata kuhama ITV wakati alianzisha mapambano ya rushwa hata kwa polisi trafiki.Ebu angalia Origino comedi inavyozidi kuchuja na watatokomea kabisa maana watanzania hawataki mzaha ila sanaa inayoashiria ukweli na si usanii moja kwa moja.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom