Jeremia Sumari (MP) is very sick

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Kuna taarifa isiyo rasmi kuwa mh mbunge wa Arumeru Mashariki ni mgonjwa sana.
Mwenye taarifa zaidi please tuambie.
 
Apunzike tuu huyo fisadi, maana alipoteza mwelekeo, na kuanza kusifia mafisadi! akipona mshaurini akae a wajukuu muda wa kweenda kulumbana bungeni umeshampita
 
Bora ingekua Makamba, Chatanda au Kikwete kabisa!!! Iweje wauaji kama hawa bado hupendelewa tu siku zaidi??
Pole Sumari na upone haraka.
 
Au huyu ndiye baba yake na yule mama wa Rex UFISADI Attorneys na janga la taifa kule Dowansi? Kama ndiye huyo huyo basi tufunike kombe tu.
 
Au huyu ndiye baba yake na yule mama wa Rex UFISADI Attorneys na janga la taifa kule Dowansi? Kama ndiye huyo huyo basi tufunike kombe tu.

Hii imekaa vizuri sana. huyu mzee namfahamu vyema, na jamaa zangu wa maeneo ya kikatiti - arusha wanamjua vyema alivyo ndumila kuwili.
amewatosa hata CCM waliomchagua mbali na kuwa waziri, hakufanya lolote. amebaki kutetea wahuni na mafisadi. Mungu ampe pumziko la amani.
 
huyu ni fisadi mkubwa wameanzisha benki na rais wao lowassa pale meru inaitwa COMMUNITY BANK..

RIP SUMARI

JAMANI MSIACHE KUMUOMBEA NA JAJI MAPIGANO YUKO ICU HOI AGHAKHAN SALA ZENU NI MUHIMU ANA MWEZI MMOJA ANATUMIA MASHINE TU AJAFUMBUA MACHO WA KUGEUKA MWENYEWE
 
RIP Jeremiah Sumari

kufa hafi lakini cha moto anakipata kwa sasa. naamini ukidhulumu adhabu utaionja hapa hapa duniani.mhhhh jamani wanaJF tunamrestisha in peace wkt bado hajafa? sio tumemhukumu kupitiliza?????/
 
huyu ni fisadi mkubwa wameanzisha benki na rais wao lowassa pale meru inaitwa COMMUNITY BANK..

RIP SUMARI

JAMANI MSIACHE KUMUOMBEA NA JAJI MAPIGANO YUKO ICU HOI AGHAKHAN SALA ZENU NI MUHIMU ANA MWEZI MMOJA ANATUMIA MASHINE TU AJAFUMBUA MACHO WA KUGEUKA MWENYEWE

post zako nyingi huwa zina ujumbe mzito na wa maana lakini huwa zinanifanya nacheka sana.

sijuini hiypo avatar yako inachangia.

Tuwaombee
 
May the Almight God will be done as Him God wishes, Amen.
But as human beings despite of all we wish you a quick recovery so you can have time to proclaim his majestic kingdom.
 
Ni kweli amelazwa yuko India muda mrefu sana.
Alimchakachua dogo wa Chadema kwenye ubunge.
 
Back
Top Bottom