Jeraha likitoweka kweli kovu hukukumbusha

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Imetokea nikakumbana na nyimbo hii baada ya miaka kupita ikanikumbusha wakati ule nipo 20 something, nikiwa na kitoto cha KIDENISH she was appeared like an angel ,naimani tupo wengi ambao hutokea nyimbo fulani kutugusa kwa njia moja au nyingine. (human nature)

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=ZKh_W60Ct2o"]YouTube - Holding On To You - Sananda Maitreya[/ame]
 
Last edited:
[QUOTE=, nikiwa na kitoto cha KIDENISH she was appeared like an angle , (human nature). kazi kweli kweli, kitoto gani cha kidan kilicho kama ki angel au ndo beuty lies in the eyes of the beholder.
ya lakini ni kweli unalosema, wakati mwingine kumbukumbu huenda hata katika harufu za perfum.
 
kitoto cha KIDENISH she was appeared like an angle

Mkuu naamini ulimaanisha angel

Kwa hakika mkuu - wengine tunayo makovu lukuki.

All that she want - Ace of Base. Hicho kitu unikumbusha nikiwa Arusha na toto ka ki-Mburu!
 
Mkuu naamini ulimaanisha angel

Kwa hakika mkuu - wengine tunayo makovu lukuki.

All that she want - Ace of Base. Hicho kitu unikumbusha nikiwa Arusha na toto ka ki-Mburu!


Asante Mkuu !ndio hivyo tena unapokuwa unavielezea vizuri hata ki- bodi unakuwa huioni. ACE OF BASE hata haijulikani wameishia wapi
 
[QUOTE=, nikiwa na kitoto cha KIDENISH she was appeared like an angel , (human nature). kazi kweli kweli, kitoto gani cha kidan kilicho kama ki angel au ndo beuty lies in the eyes of the beholder.
ya lakini ni kweli unalosema, wakati mwingine kumbukumbu huenda hata katika harufu za perfum

Aha! ni kumbukumbu tu katika harufu za perfum:confused: au pia "MIDADI" huwa haipandi pakikosekana mahanikizo ya perfum?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom