Jennifer Lopez and Marc Anthony

Kunguru Hafugiki..Naombeni List ya wanaume wote JLo alowahi kwa nao kimapenzi..sijui itakuwa zamu ya nani mara hii...

Mhhhhh! Na akifugika basi inakuwa uchuro!...huyu inaelekea anapenda sana kuolewa, labda aseme sasa ndoa basi vinginevyo nadhani ataolewa tena kabla ya kutimiza miaka 43.
 
Naona mwaninanga jamani... Naona tu wanaendana... lol

Jlo is too HOT, for her own good! lol

Lakini pia kuna ukweli katika kauli yako kwamba Marc alikuwa anapwaya sana ukilinganisha na alipokuwa na Born Town P. Diddy
 
pufffy mwisho atamuoa mkewe kim tu...
watoto watatu wote wanamuuliza hilo swali..la when will u marry mom??????

asha dii na j lo walie tu lol

Halafu jamaa kwa wanawe anastahili pongezi kwa kweli anawajali sana.
 
kama sio kuolewa na marc na kuzaa watoto
puffy angemuoa,

halafu hivi umegundua kuwa puffy na j lo wote wana watoto mapacha??????

Kitu kilinifanya nijue Puffy ana mapacha ni huu mstari from "I am coming home.."

What if the twins ask why I aint marry their mom (why, damn!) How do I respond?
 
pufffy mwisho atamuoa mkewe kim tu...watoto watatu wote wanamuuliza hilo swali..la when will u marry mom??????asha dii na j lo walie tu lol
Diddy sio muoaji, Kim aliwahi kusema wakati wanaachana kuwa "Diddy ni mtu anayependa kujirusha na kula starehe na wanawake tofauti ata kama ana mwanamke nyumbani".
 
Kitu kilinifanya nijue Puffy ana mapacha ni huu mstari from "I am coming home.."

What if the twins ask why I aint marry their mom (why, damn!) How do I respond?

he heeee wewe kweli unampenda j lo
yaani umegundua ana mapacha,lakini hukugundua kuwa
huyo mama yao twins alishazaa na puffy mtoto mwingine?
na yeye anasubiri ndoa pia??????
 
Diddy sio muoaji, Kim aliwahi kusema wakati wanaachana kuwa "Diddy ni mtu anayependa kujirusha na kula starehe na wanawake tofauti ata kama ana mwanamke nyumbani".

mkuu
kuwa na mke sio lazima umuoe kanisani
huyo kim ni kama mke tu wa puffy..

usisahau kuwa puffy anaogopa pia kugawana mali
mke akidai talaka..

we umemuona kimora alivyofanya kwa russell?
sasa jamaa lingine linachapa na pesa juu..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Diddy sio muoaji, Kim aliwahi kusema wakati wanaachana kuwa "Diddy ni mtu anayependa kujirusha na kula starehe na wanawake tofauti ata kama ana mwanamke nyumbani".

....labda muda si mrefu ujao anaweza kuamua kuachana na kujirusha kwa raha zake na kuamua kutulia na wanawe. Kama atafanya hivyo basi Kim ana nafasi nzuri sana ya kuwa chaguo la P.Diddy (kama Kim hana mtu wake wa kudumu)
 
Diddy sio muoaji, Kim aliwahi kusema wakati wanaachana kuwa "Diddy ni mtu anayependa kujirusha na kula starehe na wanawake tofauti ata kama ana mwanamke nyumbani".

Kwa hio in other words sababu sio muoaji, na jlo kaolewa mara kibao tayari - wajirushe tu?? lol
 
Too bad it didn't work out for them .....i hope they remain friends for the sake of their kids
 
he heeee wewe kweli unampenda j lo
yaani umegundua ana mapacha,lakini hukugundua kuwa
huyo mama yao twins alishazaa na puffy mtoto mwingine?
na yeye anasubiri ndoa pia??????

ha ha ha.... I adore her... Really... fell in love with her in the movie

"Out of Sight" akiwa na The handsome Clooney...
 
mkuu kuwa na mke sio lazima umuoe kanisanihuyo kim ni kama mke tu wa puffy..usisahau kuwa puffy anaogopa pia kugawana malimke akidai talaka..we umemuona kimora alivyofanya kwa russell?sasa jamaa lingine linachapa na pesa juu..
Bora ya Russell issue iko kwa Bob Johnson mkewe aliondoka na karibia nusu ya mali.Hivi yule mtoto wa Diddy na Sarah Chapman anaitwa nani, maana hiyo ilikuwa sababu mojawapo ya Kim kumtosa jamaa nyingine ni kuwa alikuwa anataka ndoa jamaa hataki. But if you can date the likes of JLo na other divas ndoa ya nini?
 
ha ha ha.... I adore her... Really... fell in love with her in the movie

"Out of Sight" akiwa na The handsome Clooney...

JLO is very beautiful na mgongo wake mhhhhh! ingawa miaka ya karibuni umepungua kidogo.
 
Back
Top Bottom