Jennifer Lopez and Marc Anthony

Niliona siku moja dame analalamika mtandano (majuu) kwamba amelia sana baada ya rafiki yake mpenzi aliyekuwa na maisha mazuri sana na mumewe kazi nzuri, mshahara wa hali ya juu, nyumba kali sana, magari mawili lakini kaamua kubwanga manyanga ili kumfuata bad boy ambaye hana mbele wala nyuma muuza unga tu kula yake ya kubahatisha halafu huwa haishi kumpiga yule dada, lakini dada kaacha mume na watoto ili akawe karibu na muuza unga wake.

mkuu no one rule of atraction
is we dont choose who we atracted to....
it just happens
 
We mwache tu, P didy akichelewa tu, nafanya vitu vyangu, ila usimwambie wifi yako...! Ah ah ah ah.

Hahahahahah lol! Mkuu...utayaweza lakini mambo ya mamarazzi na paparazzi :) na swaggers 24/7....kila la heri mkuu
 
huwezi jua labda x paster ana teknolojia ya ungo,haitaji jet lol

Boss alichofeli hapo ni ile ya kusema atafatwa.... Jlo is woman if any! Na mwanamke

anaetambua kua ni mwanamke... atasubiri afuatwe kama 1st step then zinazofuata atakufuata....lol
 
Boss alichofeli hapo ni ile ya kusema atafatwa.... Jlo is woman if any! Na mwanamke

anaetambua kua ni mwanamke... atasubiri afuatwe kama 1st step then zinazofuata atakufuata....lol

huu ni ujumbe kwa mtu mwingine nahisi lol
 
Mpaka hapo ushafeli mtihani .... na humpati....lol... akija uswahilini lazima utume jet...
Nakwambia hivi, we subiri tu.

huwezi jua labda x paster ana teknolojia ya ungo,haitaji jet lol
Ungo wa nini bana, kwani nataka kupepeta mchele...! Ni hapo mtakapo muona uswazi ndio mtajua kuwa ooh! Kumbe kweeeeli.
Una majidai weye hahahahah lol!...utanyunyizia nini? :)
Ah ah ah ah, mkuu sio majidai mkuu, ndio ukweli wenyewe, japokuwa wengi hawapendi kuusikia...! ah ah ah ah

Boss alichofeli hapo ni ile ya kusema atafatwa.... Jlo is woman if any! Na mwanamke

anaetambua kua ni mwanamke... atasubiri afuatwe kama 1st step then zinazofuata atakufuata....lol
Siku hizi ni mapinduzi, si wanadai usawa bana, sasa hii imekula kwake tu, lazima achape rapa kuja uswazi.
 
Nakwambia hivi, we subiri tu.

Ungo wa nini bana, kwani nataka kupepeta mchele...! Ni hapomtakapo muona uswazi ndio mtajua kuwa ooh! Kumbe kweeeeli.

Ah ah ah ah, mkuu sio majidai ndio ukweli wenyewe, japokuwa wengi hawapendi kusikia...! ah ah ah ah

Siku hizi ni mapinduzi, si wanadai usawa bana, sasa hii imekula kwake tu, lazima achape rapa kuja uswazi.

IMO Usawa Yes... But sio katika this issue, katika mapenzi pawe na me na ke....
 
Boss alichofeli hapo ni ile ya kusema atafatwa.... Jlo is woman if any! Na mwanamke

anaetambua kua ni mwanamke... atasubiri afuatwe kama 1st step then zinazofuata atakufuata....lol

Kuonyeshwa kwamba unapendwa, unazimikiwa au siyo Asha? badala ya kujipitishapitisha :)
 
Marc Anthony ameona hawezi kuendelea ku-spend $3M kwa mwaka kwa ajili ya kuli-maintain kalio la JlLO!.
 
Back
Top Bottom