Jenister Mhagama (MB)!!! Hongera.

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Dada yangu Jenister,

Nafurahishwa sana na jinsi unavyoongoza vikao vya Bunge pale unapokuwa mwenyekiti wa vikao husika... I wish ungekuwa.... Naomba ujiendeleze zaidi... nyota yako inang'aa nasikia wewe ndio katibu wa wabunge wa CCM. unastahili dada.

Hongera sana. Hekima ni kitu muhimu sana ukikalia hicho kiti hapo mbele ya wabunge.

Best Wishes.
 
Huyu mama ni mjane.....mume wake alifariki mwaka jana.....alifariki kwa maradhi mabaya......nasikia Mkulu anakula mzigo......hata hivyo siuoni umahiri wake katika kuongoza Bunge. Ni miongoni mwa wabunge wasio na shule ya maana
 
Dada yangu Jenister,

Nafurahishwa sana na jinsi unavyoongoza vikao vya Bunge pale unapokuwa mwenyekiti wa vikao husika... I wish ungekuwa.... Naomba ujiendeleze zaidi... nyota yako inang'aa nasikia wewe ndio katibu wa wabunge wa CCM. unastahili dada.

Hongera sana. Hekima ni kitu muhimu sana ukikalia hicho kiti hapo mbele ya wabunge.

Best Wishes.

groooooaaaaaan....!!!
 
Nafurahishwa sana na jinsi unavyoongoza vikao vya Bunge
Ameongoza vikao vingapi? Mapema mno kumsifia, jana ndio ilikuwa debut yake, na ni kama alipewa siri, yakikushinda we mwambie Katibu wa Bunge aeleze nini kinaendelea, na ndicho alichokuwa anafanya.

Na hii tabia ya Spika kuaga katikati ya Bunge kusema ana kikao, hivi jamani, ni kikao gani muhimu sana ambacho hakiwezi kusubiri Bunge liishe? Anatoa mfano gani kwa wabunge watoro?

Na nilidhani Spika ndio Mwenyekiti wa Bunge, ghafla bin vuu kuna Mwenyekiti wa Bunge, Jenister Mhagama, what the eff?
 
Alikuwepo kipindi kilichopita na alifanya kazi nzuri sana, i wish her the best kwenye bunge hili tofauti na linalohitaji busara na hekima as well as umahiri wa kuzielewa na kufuata kanuni...:A S 465:
 
groooooaaaaaan....!!!

...Hivi kwa nini wanaJF na uelewa wao wote walikubaliana kuondoa hii kitu ya Groan?? Ni kweli kwamba hatuelewi maana ya Groan mpaka watu wakakubaliana kuiondoa?? Wangeiacha tu na ikawa ni uamuzi wa asiyeielewa maana yake kuacha kuitumia na anayeielewa kama huyu aendelee kuitumia!! Mnataka JF ya mwaka 2011 iwe sawa na ya mwaka 2007??? Ni lazima kuwe na mambo mapya ambayo wanaJF wanaweza kuyatumia kuonyesha furaha yao ama KUKARAHISHWA kwao! Naam, kama GROAN!! Irejesheni, tafadhali.
 
Back
Top Bottom