Jenista Muhagama amfunika Makinda!

Borakufa

JF-Expert Member
May 26, 2011
1,503
390
Dah wana JF mmemcheck Jenista Muhagama alivyoliongoza Bunge leo japokuwa U-CCM ulimwathiri wakati akiliongoza Bunge leo toka asubuhi lakini ameonekana imara na kujiamini kuliko Mama Makinda?
 
Dah wana JF mmemcheck Jenista Muhagama alivyoliongoza bunge leo japokuwa uccm ulimwathiri wakati akiliongoza bunge leo toka asubuhi lakini ameonekana imara na kujiamini kuliko Mama Makinda

Huyu mama kiukweli namkubali kuliko Makinda, hapanic angekuwa spika angeweza kuendesha bunge, huyu ni mbadala wa Sita kabisa
 
Mhagama nishamuona toka kipindi cha Sita alikuwa akiongoza vikao anaendesha vizuri sana ametulia.Anastahili apewe kile kiti in the future.
 
Jamani kweli huyu mama Jenista Muhagama ni safi na anautulivu wa namna fulani na kama Mungu akipenda anafaa hata u-naibu spika jamani
Naungana na Borakufa na wengine mliochangia hapa
 
Dah wana JF mmemcheck Jenista Muhagama alivyoliongoza bunge leo japokuwa uccm ulimwathiri wakati akiliongoza bunge leo toka asubuhi lakini ameonekana imara na kujiamini kuliko Mama Makinda

Amefunika kwa lipi sasa?? Kuathiriwa na uccm au?
 
Yuko vizuri na anamawazo mapana na Mungu amsaidie aendelee vizuri na nadhani kwa mbeleni atatufaa.
 
Mhagama nishamuona toka kipindi cha Sita alikuwa akiongoza vikao anaendesha vizuri sana ametulia.Anastahili apewe kile kiti in the future.

"Anaendesha vizuri sana" ni relative phrase. Anaendesha vizuri kwa namna gani? ya kua neutral? kua upande wa ccm? au kua upande wa upinzani??!
 
Kaliongoza vizuri kivipi!
tunachotaka CCM waondoke kabisa madarakani, na kiti cha spika kikaliwe na mtu kutoka nje ya CCM, ishu za kuongoza vizuri vikao havitusaidii, halafu watz kwa ushabiki, enzi za Samweli Sitta mlisema mnoko sasa hivi Makinda mnoko, na wengine mnataka Jenista akalie kiti, mbona fikra zenu fupi? ukombozi hautapatikana kwa mawazo kama yenu...
 
Yule ni mwalimu kitaaluma anaweza kuchukiliana na kila hali kwa hiyo anaongoza na kufundisha hapo hapo
 
Ni kawaida yake kwa tunaomfaham tangu enzi za Mr. 6 hakuna la ajabu alilofanya leo huwa anajaribu sana kuwa fair kwa awezavyo japo in some point kama binadam anayetokea chama cha magamba lazima azime kimtindo.
 
Back
Top Bottom