Jengo la Machinga: NSSF imekula hasara ya bilioni 30

Jengo litalipaje ikiwa watu wanaachiwa kufanya biashara popote holela hapa dar? Hata kwenye kituo cha daladala mwaga bidhaa zako uza nobody cares. Angalia manzese biashara barabarani kabisa tu kuu service road nazo biashara kama kawaida. Sheria hazifuatwi na hakuna wa kuwasisitizia watu kufuata sheria. Wabongo wenyewe wavivu kutembea siyo rahisi mtu kwenda machinga complex kununua bidhaa ikiwa ninapopita njiani nazipata. Nchi ya kishikaji hii wa kusimamia sheria hawapo.
 
rd.jpg


MICHUZI: kassim manara akutana na wenzie wa enzi ya yanga wa miaka 25 ilopita
 
Back
Top Bottom