Jengo la ghorofa kati ya Bamaga Petrol Station na Maryland Bar barabara ya Posta-Mwenge kulikoni?

Angalia vizuri, anachofanya huyo jamaa ni garden tu na wala sio parking. Ni sawa na jarini zake wanaouza maua na miti. Mi nadhani ni vyema kwani anapendezesha eneo hilo. Ni kama pale Nakiete House

Asante kwa kunielewesha!
 
Afterall, sijui jengo lenyewe ni la nani: sijui kama ni la manispaa, la serikali au mtu binafsi. Anyaway, kama kusema nilichoona ndiyo kutumwa basi wasiosema wanachoona au wanaosema wasichoona hawajatumwa! Na wewe ni mmoja wao - unasema usichoona na kama ukiona huwezi kukisema ulichoona. Ni wazi kuwa ukiona mtu ananyanyasika na ukaulizwa kama umeona nini ili usije ukaambiwa umetumwa na ili kuonesha hujatumwa utasema hujaona kitu. Hauko peke yako. Nchi yetu imejaa watu wa aina yako! Keep it up if you profit from not saying what you see!
Mkuu kwani kila nachokiona ni lazima ukiseme?.........MBONA husemi Mitambo iliyokuwa ya DOWANS sasa ni ya wamerikani (symbions)?.......wivu tuuuuu..............
 
Afterall, sijui jengo lenyewe ni la nani: sijui kama ni la manispaa, la serikali au mtu binafsi. Anyaway, kama kusema nilichoona ndiyo kutumwa basi wasiosema wanachoona au wanaosema wasichoona hawajatumwa! Na wewe ni mmoja wao - unasema usichoona na kama ukiona huwezi kukisema ulichoona. Ni wazi kuwa ukiona mtu ananyanyasika na ukaulizwa kama umeona nini ili usije ukaambiwa umetumwa na ili kuonesha hujatumwa utasema hujaona kitu. Hauko peke yako. Nchi yetu imejaa watu wa aina yako! Keep it up if you profit from not saying what you see!
Mkuu kwani kila unachokiona ni lazima ukiseme?.........MBONA husemi Mitambo iliyokuwa ya DOWANS sasa ni ya wamerikani (symbions)?.......wivu tuuuuu..............
 
Mkuu kwani kila unachokiona ni lazima ukiseme?.........MBONA husemi Mitambo iliyokuwa ya DOWANS sasa ni ya wamerikani (symbions)?.......wivu tuuuuu..............

Kila nyoka huuma afikiapo! Nimeona nimesema nilivyosema. Umeona na hujasema chochote: no right, no wrong.
 
ni kweli sheria inazuia kujenga ndani ya hifadhi ya barabara ila inazuia kujenga

1- permanent structure

2- kujenga bila kuwa na kibali cha tanroads na kibali ili kipitishwe inabidi uwasilishe michoro ya hicho unachotaka kujenga

3- unajenga au kuendeleza eneo la hifadhi ya barabara kwa ruhusa ya tanroads ..na sio kuwa unalimiliki wewe still litatumika na public kama kawaida ila wewe unakuwa ni kama "guardian angel" wa eneo hilo

4- ukijenga hizo temporary development na preferably isiwe jengo..i mean landscape both soft and hard landscape features pia ukiombwa kuzibomoa ufanye hivyo na kwa gharama zako

nimewasilisha kadiri ya uelewa wangu wa kitaalamu....

lakini mazoe yana taabu baadae watu huhalalisha kitu kama hichi na zaidi ya hapo basi sehemu yote hiyo sio mbele ya jengo hilo linge tengenezwa kama park lot ya halamashauri ili ikija issue ya kutengeneza barabara sio una deal na mtu binafsi ni shida saana, historia imeonyesha hivyo, na la msingi kama ni jengo la biashara nk park ajenge kwenye uwanja wake, maana hata ikiwa sio permanent structure, siku likiondolewa wateja wake wata park wapi.
 
Back
Top Bottom