Jengo la ghorofa 3 linauzwa salasala

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Salasala.jpg
Halijakamilika. Ukubwa wa uwanja 1094 mita za mraba. Kiwanja kina haki miliki ya ardhi’’Title Deed” kuna apartments 6 (one bedroom apartment)@ Bei 370mil.... kwa maelezo zaid au kuiona piga simu whatsapp katika hii number 0784225000 au tuma ujumbe katika hii email: info@kitomai.com
 
Naona sasa ule wimbo wa R Kell usemao".....if i could turn the hands of time", mafisadi na wake zao wanauimba wote bila ya kukosea hata herufi moja.
 
Naona sasa ule wimbo wa R Kell usemao".....if i could turn the hands of time", mafisadi na wake zao wanauimba wote bila ya kukosea hata herufi moja.

Teh teh teh hata dharau na nyodo zimeisha Mjini hasa kwenye vilinge vya Gambe na Starehe.
 
Hivi hilo jengo kwenye picha ni ghorofa tatu?au gorofa inaanzia floor ya kwanza ?nijuavyo hilo jengo kwenye picha ni gorofa mbili sababu underground floor hatuhesabu! Wajuzi mukuje mtusaidie maana hata chama tawala huku mkoan wana ofisi yao kama hiyo tunaita ya gorofa mbili so iweje hilo liwe la gorofa tatu.
 
Navyojua hapo salasala kuna kipind kiwanja kitupu kilikua kinauzwa mil 200 sasa manake jengo hili lingeuzwa mil 600 kwa kipindi kileee...sasa limeshuka bei heshima itarudi kwenye pesa
 
Back
Top Bottom