Jengo jipya la ubalozi DC - Dola milioni 10?

Its true, investment in construction pays alot and if the collected money land to faithful Tanzania who handle it, we will benefit . i just argue the concern personnels to keep in mind that what they are taking care of is not theirs but belongs to Tanzanians.

I couldn't agree with you more. Give credit where it's due. Your last sentence (in red) is full of wisdom. Feels relief to see other great thinkers taking a positive note on some issues.
 
Jasusi,

Of all people you should know better kwamba, economics aside, sababu za kiusalama tu haziruhusu kufanya jengo la ubalozi wetu liwe na ofisi za kibiashara juu yake.

In order to justify their lopsided deal,these thieves start talking about renting the extra office space that they will not use. Can someone tell me where in the world respectable embassies share their buildings with other tenants for commercial purposes? Msitufanye wajinga; mmezoea kula bila kunawa!!

Mkuu that someone is me,.

UMOJA HOUSE Dar es salaam ni embassy ya Ujerumani, uingereza, Umoja wa Ulaya, DFID na office nyingine in one building.
 
100% KUMKOMA NYANI GILADI...as FMEs refers
Ukifuatilia post zangu hapo mwanzo hili nilisema kuhusu kushare ofisi lakini unatakiwa uangaliwe unashare na nani, kwa mfano kushare ofisi kama ubalozi au ofisi za AU Washington DC etc ni sawa lakini si kushare na eg legal firm , cleaning company cafeteria au restaurant , sasa tukirudi kwenye hiyo ujerumani, uingereza , eu, dfdi ni kundi moja hao, nature ya shughuli zao zina shabihiana. usione dfdi hapo ukafikiri ni kikampuni binafsi ni shirika la misaada la uingereza, na wateja wao wakubwa ni serikali ya tanzania na ngo, sio wanaingia ovyo ovyo. kwa hiyo sio unatetea na ku-forward message bila kuelewa. hao wajerumani , eu nafikiri unaelewa shughuli zao kwa hiyo hamna haja ya kulielezea hilo. Sawa
 
Sasa tunalo hilo jengo la ghorofa 6, what's next? Au ndio tumempakaa nguruwe lipstick?

Watendaji ni walewale na performance yao ni hilehile.
 
Ukifuatilia post zangu hapo mwanzo hili nilisema kuhusu kushare ofisi lakini unatakiwa uangaliwe unashare na nani, kwa mfano kushare ofisi kama ubalozi au ofisi za AU Washington DC etc ni sawa lakini si kushare na eg legal firm , cleaning company cafeteria au restaurant , sasa tukirudi kwenye hiyo ujerumani, uingereza , eu, dfdi ni kundi moja hao, nature ya shughuli zao zina shabihiana. usione dfdi hapo ukafikiri ni kikampuni binafsi ni shirika la misaada la uingereza, na wateja wao wakubwa ni serikali ya tanzania na ngo, sio wanaingia ovyo ovyo. kwa hiyo sio unatetea na ku-forward message bila kuelewa. hao wajerumani , eu nafikiri unaelewa shughuli zao kwa hiyo hamna haja ya kulielezea hilo. Sawa

Miaka ya zamani, watanzania waliokuwa wanaishi nje walikuwa wachache sana. Hivyo kuwa na ofisi ya ubalozi yenye chumba kimoja ilikuwa sahihi.

Kama mabalozi wetu asa waliokuwa Marekani, UK na nchi zingine zilizokuwa na idadi kubwa ya watanzania, watawatumikia watanzania katika nchi husika na vile vile kutumia ofisi zao kutangaza nchi basi hakutakuwa na matatizo ya matumizi ya sehemu zilizobaki.

Wanaweza kuitumia sehemu kama culture center. Kuna watu wengi tu wanaojifunza kiswahili. Basi wangetumia vyumba kwa kufundishia kiswahili.

Wanaweza kutumia vyumba kama ofisi za mikutano. Kuna mambo mengi wanayoweza kuyafanya bila kupangisha na kuleta faida kwa jamii.
 
10billion ? No wonder Obama anamvuta JK ubavuni kwake kila saa anajua analo lifanya .
 
Mnakumbuka scandal ya Dr Costa Mahalu na ofisi ya ubalozi Italy,waliponunua kwa bei ya juu na ufisadi?Hatujui sh ngapi zilitumika kuhamisha ubalozi wa Uingereza kutoka ofisi ya zammani kuja mpya!

Hizo billioni zingetumika kujenga shule hii:
Fidel80
user_offline.gif
Today, 03:37 PM
HPIM0462.jpg

Ni kawaida kuona wanasiasa wakiwarubuni wananchi kwa kuwapa maneno matamu sana na yenye matumaini hapo mbeleni. Lakini cha kushangaza utekelezaji wake ni karibia na kipindi cha uchaguzi ndo utaona hao jamaa wapo busy sana kuboresha vitu napo kwa kulipua.
Sasa hili Taifa la kesho linaweza kujengwa kati hali hii?
JK tembeza bakuri basi angalau Taifa la kesho lisikalie vitofauri na kukaa kwenye madarasa ya vumbi kama hili. Elimu ni jambo la msingi kwa binadamu kuliko bakuri unalo tembeza la vyandarua ambavyo vinaishia wa wajanja wachache na wewe ukiwa kimya.
Ukiwa kama mkuu wa kaya kuna changamoto kubwa mbele yako inua Elimu.
__________________
Utamu wa pilipili ni muwasho wake :-D
 
Hata kama ni investment nzuri, utakuja kusikia hela zilikuwa zinaingia kwenye private accounts za waheshimiwa. Ndo hapo chacha
 
Wanaweza kuitumia sehemu kama culture center. Kuna watu wengi tu wanaojifunza kiswahili. Basi wangetumia vyumba kwa kufundishia kiswahili.

Wanaweza kutumia vyumba kama ofisi za mikutano. Kuna mambo mengi wanayoweza kuyafanya bila kupangisha na kuleta faida kwa jamii.

mheshimiwa unataka kugeuza ubalozi kuwa shule ya kujifunzia kiswahili,
du tafadhali..
 
Bw Magezi kwanza naomba usichukulie kwamba anacho fanya kikwete ndicho kinachopingwa, kwani hata cha nkapa kuuza nyumba za serikali kinapingwa kununua ubalozi italy kwa kuongeza cha juu kinapingwa na hata ofisi ya ubalozi uingereza kunaweza kuwa na madudu ingwa hayajaibuka nk nk.
Sasa tukirudi kwenye hili jambo, wewe ukiwa ni mtu mwenye akili ni lazima una mahitaji ya nyumba, sasa suala linakuja unataka nyumba ya choo kila chumba au yenye ya kawaida yenye choo kimoja, au ya kati yenye choo extra kwa master bedroom tu. Sasa uamuzi wako wa busara utatokana na uwezo wako wa kifedha na mambo mengine ya kimsingi kama eneo, usalama na shughuli unazotaka kufanya.
Sasa baada ya utangulizi huo tuje kwenye hili jambo, kwanza tunasikia tulikuwa na jengo la zamani, sasa sijui kwanini waliliuza na kununua hilo, aidha lilikuwa halitoshi , na pili jee tulio liuza tulipata fair price au huku tunaliwa na kule tunaliwa.
halafu linakuja hiyo busara ya kulinunua hili la sasa je ni wa busara, na je bei ni halali , na hiyo paper iliyo kwenda kwa waziri mpaka baraza la mawaziri mpaka kwenye budget inasemaje? maana najua utayarishaji wa budget mpaka inapopita na mpaka utekelezaji muda utakuwa umepita, sasa na hii economic recession bei kweli haijapungua, je mahitaji yetu ni ya hilo ghorofa nk nk.

Nakubaliana nawe mkuu, kama kuna ufisadi hapo sasa sijui lakini kama zilikuwa ni jitihada za dhati za kuwa na jengo lenye nafasi kwa ajili ya ubalozi nadhani ni uamuzi mzuri.
 
Miaka ya zamani, watanzania waliokuwa wanaishi nje walikuwa wachache sana. Hivyo kuwa na ofisi ya ubalozi yenye chumba kimoja ilikuwa sahihi.

Kama mabalozi wetu asa waliokuwa Marekani, UK na nchi zingine zilizokuwa na idadi kubwa ya watanzania, watawatumikia watanzania katika nchi husika na vile vile kutumia ofisi zao kutangaza nchi basi hakutakuwa na matatizo ya matumizi ya sehemu zilizobaki.

Wanaweza kuitumia sehemu kama culture center. Kuna watu wengi tu wanaojifunza kiswahili. Basi wangetumia vyumba kwa kufundishia kiswahili.

Wanaweza kutumia vyumba kama ofisi za mikutano. Kuna mambo mengi wanayoweza kuyafanya bila kupangisha na kuleta faida kwa jamii.
u got it wrong , zamani tulikuwa na watu wakutosha tu ubalozini mpaka education attache, wa biashara, 1st consular, military attache, balozi mwenyewe, watumishi wa ndani na wakupika na familia zao nenda pale cafe latino ulizia mzee jabiri alikuwa anatengeneza supu nzuri alikuwa wapi enzi hizo nchi iko kwenye hali nzuri? Ilivyo fika wakati wa Mwinyi, nchi sasa ipo dho kifedha ndipo walipo kuwa wameanza kukata namba ya watu ubalozini, hasa hasa kama mtu anaeeza kwenda bila watoto, nakumbuka wakati nkapa ni minister foreign affairs yeye tu ndio alikuwa anaruhusiwa watoto wake kusoma nje, tena waliona yeye ni nafuu kwa sababu ya watoto 2. Angalia wamerekani na ofisi yao kubwaaa, hapo hawaleti mambo ya cultural centre hiyo itawekwa kwingine.
 
Wewe unaongea watu wa kufanya kazi ubaloni. Lakini point yangu ni watanzania wanaoishi nje na kufanya shughuli zingine.

Na kama culture center, sio lazima uige Marekani. Kama unataka kuiga Marekani basi tafuta kiwanja na baadaye jenga kuanzia chini.
 
Mgonjwa Ukimwi,
Mkuu,
Fedha halali haikataliki hata siku moja. Hakuna nchi inayokataa fedha halali. Hakuna benki inayokataa fedha halali. Hakuna financial institution duniani inayokataa fedha halali. Hakuna muuzaji anayekataa fedha halali.

Mkuu nadhani tuachie hapo maanake imekuwa taabu...
Sikuandika sehemu yoyote ile kwamba Bank au financial institution zinaweza kataa fedha halali... sielewi hili umelitoa wapi? isipokuwa nazungumzia ununuzi wa Mjengo Marekani au nchi za Kibepari..Umeshindwa kuelewa kwamba hata hizo Bank na Financial Institution zinafanya biashara pia kwa hiyo hawakai fedha yako ila wanakataa biahsara isiyokuwa na faida kwao..Kila transaction wanayoifanya wanatafuta kuvuta chao na sii kazi ya kanisa...Mfumo mzima wa Kibepari ni mgumu kuliko unavyofikiria lakini rahisi sana kiutendaji kama utaelewa unavyofanya kazi.
Tanzania tuna cash kibao lakini hatuwezi kununua mitambo kama ya Barricks ya kuchimba dhahabu..Trust me, hatuwezi kuuziwa hata kama tunayo cash bank....tunataka sana tuyachimbe madini yetu sisi wenyewe lakini mfumo mzima unatuweka kati hatuwezi kufanya tunavyofikiria au kupanga.
Kwa hiyo sijasema sheria za US zinamkataza foreigner kununua nyumba au kukataa fedha yetu isipokuwa utaratibu wenyewe unakulazimisha kuingia mortgage hata iwe kwa miaka michache pamoja na kwamba unayo cash mkononi..
Imewatokea watu wangu wa karibu na sii kitu cha kusimuliwa..wewe umesimuliwa na rafiki yako, I was involved in the process.. maadam 99% ya mijengo unayoyaona city centre kwa maghorofa yapo ktk mikopo (mortgage) ni vigumu kuepuka hesabu za Bank ktk makadirio ya kile watakacho kivuta toka kila nyumba...Nina hakika kama kweli inawezekana hivyo ulivyosema, basi nyumba ya thamani ya Usd millioni 7 ndio utauziwa kwa Us millioni 10 kwani wenzako wameisha piga mahesabu ya miaka 20 ijayo watavuta ngapi toka jumba hilo la ghorofa 6..
 
Ukifuatilia post zangu hapo mwanzo hili nilisema kuhusu kushare ofisi lakini unatakiwa uangaliwe unashare na nani, kwa mfano kushare ofisi kama ubalozi au ofisi za AU Washington DC etc ni sawa lakini si kushare na eg legal firm , cleaning company cafeteria au restaurant , sasa tukirudi kwenye hiyo ujerumani, uingereza , eu, dfdi ni kundi moja hao, nature ya shughuli zao zina shabihiana. usione dfdi hapo ukafikiri ni kikampuni binafsi ni shirika la misaada la uingereza, na wateja wao wakubwa ni serikali ya tanzania na ngo, sio wanaingia ovyo ovyo. kwa hiyo sio unatetea na ku-forward message bila kuelewa. hao wajerumani , eu nafikiri unaelewa shughuli zao kwa hiyo hamna haja ya kulielezea hilo. Sawa

Acha kudandia train kwa mbele, naona unatapika pumba hapa, hakuna mtu aliyekwambia hajui shughuri za dfdi, mimi nimejibu kuwa unaweza kuwa na ubalozi na hapo hapo kukawa na ofisi zenye shughuri nyingine na wala sikutaja uasilia wa shughuri zenyewe, kima we.
 
Mgonjwa Ukimwi,

Tanzania tuna cash kibao lakini hatuwezi kununua mitambo kama ya Barricks ya kuchimba dhahabu..Trust me, hatuwezi kuuziwa hata kama tunayo cash bank....tunataka sana tuyachimbe madini yetu sisi wenyewe lakini mfumo mzima unatuweka kati hatuwezi kufanya tunavyofikiria au kupanga.
..

....wewe Bob kama hujui kitu bora ukae kimya au uliza, maana haya mambo unayoongea yanasomwa na watu wengi sana,kukuita muongo nitakuwa rude lakini kitu ulichoandika hakina ukweli hata kidogo,FYI nina uzoefu na hizi financial institution zinavyofanya operate may be kuliko governor wako wa BOT!
 
Hakuna haja ya kurushiana madongo.. wewe nambie kile nisichokijua maanake nimetumia experience yangu mimi...nipo hapa kujifunza kama wengineo maanake somo moja lakini edition zinaweza kuwa nasoma ilopitwa na wakati..kisha sio tu maadam Mkandara kaandika basi ndivyo ilivyo...
Na sidhani ktk swala la madini nimezungumzia financial institution isipokuwa utaratibu wa kununua mitambo ya kuchimba madini kama ya Barricks..
Tunaihitaji sana mitambo hiyo, tunao vijana wamesomea madini na bila shaka asilimia 80 ya wafanyakazi pale Barricks ni Watanzania...Kwa nini tumeshindwa kununua mitambo yetu ssi wenyewe!
Unataka kunambia kweli ni Uongozi wetu ndio hawajui la kufanya?
 
Mgonjwa Ukimwi,
Umeshindwa kuelewa kwamba hata hizo Bank na Financial Institution zinafanya biashara pia kwa hiyo hawakai fedha yako ila wanakataa biahsara isiyokuwa na faida kwao.

Hapa mkuu naona tu unataka kuendeleza mjadala. Na mimi nitaufunga kwa kusema haya machache kuhusiana na nukuu yako hapo juu.

Mkandara unachanganya mambo hapa. Ununuzi wa nyumba unafanyika kati ya muuzaji na mnunuzi. Benki inahusika tu katika kufacilitate transcation kutoka katika account ya mnunuzi kwenda katika account ya muuzaji. Hapa benki kisheria HAINA BIASHARA.

Biashara ya benki inatokea tu pale mnunuzi anapoomba mkopo kwa kutokuwa na fedha za kutosha kumlipa muuzaji. Hapa ndipo benki inapofurahia kwani imepata biashara. Ukiwa na fedha tasilimu benki ambazo umezipata kwa uhalali, benki haina uwezo wa kukufanya usinunue nyumba.

Mkuu naona kwa makusudi mazima unataka kupotosha wasomaji kwamba ukiwa na fedha tasilimu halali kwenye account yako, benki watakataa kufanya biashara na wewe ati kwa sababu haina faida kwao kama ulivyodai kwenye nukuu hapo juu. Yani benki itakataa kumlipa muuzaji fedha ambazo wewe mwenyewe umeziweka? Benki inaingilia vipi matumizi ya fedha zako?

Anyways, kwangu hii topic na ununuzi wa nyumba kwa fedha tasilim naifunga na niliona vyema kurekebisha pale ulipokosea.

Mkuu wangu, tutakutana kwenye mjadala mwingine
 
Hakuna haja ya kurushiana madongo.. wewe nambie kile nisichokijua maanake nimetumia experience yangu mimi...nipo hapa kujifunza kama wengineo maanake somo moja lakini edition zinaweza kuwa nasoma ilopitwa na wakati..kisha sio tu maadam Mkandara kaandika basi ndivyo ilivyo...
Na sidhani ktk swala la madini nimezungumzia financial institution isipokuwa utaratibu wa kununua mitambo ya kuchimba madini kama ya Barricks..
Tunaihitaji sana mitambo hiyo, tunao vijana wamesomea madini na bila shaka asilimia 80 ya wafanyakazi pale Barricks ni Watanzania...Kwa nini tumeshindwa kununua mitambo yetu ssi wenyewe!
Unataka kunambia kweli ni Uongozi wetu ndio hawajui la kufanya?

Mkuu naona mgonjwa kakujibu kila kitu na sina cha kuongeza na pls usichanganye topic hapo na sisi kutoweza kununua mitambo kama ya Barrick....kuna kitu kinaitwa transfer of technology,ni kweli kuna vitu huwezi kununua hata kama una pesa,lakini sana sana hii ni kwenye mambo ya silaha,anyway hiyo ni topic nyingine lakini sina uhakika kama mitambo ya kuchimba madini ina fall humo
 
si rais alisema wezi wa epa walirudisha over $60 million, sasa si walitumia kidogo from that kununua jengo...the rest will go to pay the $30,000 a month maintenance cost for a couple of years :)
 
Back
Top Bottom