Jenerali Ulimwengu: Watawala wenye kiburi wapo kila mahali na katika kila zama

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Wana JF,

Jenerali Ulimwengu ameandika maneno mazito sana yenye ujumbe mzito sana kwa Watawala.

"Watawala wenye kiburi wapo kila mahali na katika kila zama. Wanayo maslahi yao,na watayasimamia kwa gharama yoyote,hata kwa kuwaziba midomo wale wanaompinga, kuwapiga hata kuwaua. Mifano mingi tumeishuhudia, nchini na nyingi jirani.

Hatuna sababu kuamini watabadilika leo au kesho".

Nampongeza sana Jenerali Ulimwengu kwa kuweza kusema ukweli ambao ni wachache wenye uwezo wa kuusema.

Wasiopenda kuambiwa ukweli ujumbe utakuwa umewafikia.

Ulimwengu.png
 
Unajaribu kuwekea mkazo jambo gani mheshimiwa ........kwa maana muda mwingine kuzunga bila kuweka hoja wazi huwa inavuruga process ya kuelewa.....be straight ili tujue ajenda yako!
 
Mkuu soma tena utaelewa ajenda zao hao Watawala wenye kiburi
 
Maana tusiwe tunapenda mageuzi bila kuhoji hoja ya msingi nyuma ya hayo mageuzi au mabadiliko.....
 
Dah... Wabongo bana sijui hata wanapenda supu ya aina gani.... Juzi tu hapa walikuwa wanalalamika eti imepoa na haina pilipili.... SASA imepashwa moto na kutiwa pilipili wameanza tena kulialia... Mijitu ya hivyo Sana
 
Ulimwengu ni wale wale ,MTU mzima lkn kila siku yeye ni kulialia tu.
 
Wana JF,

Jenerali Ulimwengu ameandika maneno mazito sana yenye ujumbe mzito sana kwa Watawala.

"Watawala wenye kiburi wapo kila mahali na katika kila zama. Wanayo maslahi yao,na watayasimamia kwa gharama yoyote,hata kwa kuwaziba midomo wale wanaompinga, kuwapiga hata kuwaua. Mifano mingi tumeishuhudia, nchini na nyingi jirani.

Hatuna sababu kuamini watabadilika leo au kesho".

Nampongeza sana Jenerali Ulimwengu kwa kuweza kusema ukweli ambao ni wachache wenye uwezo wa kuusema.

Wasiopenda kuambiwa ukweli ujumbe utakuwa umewafikia.

View attachment 369802
Jenerali ni mnafiki mkubwa kwa maana leo akihojiwa na Radio moja ya ughaibuni kaisifu sana Rwanda kwa kufanya vizuri katika nchi za Africa na kwamba kiongizi au Viongizi wake wako commited kuletea wananchi maendeleo. Kaendelea kusifu uongozi wa Rwanda na katoa mifano kuwa kila akienda Rwanda kila baada ya mwezi au miwili au mwaka hukuta kitu tofauti. Ukisifia Rwanda maana yake huwezi kusema Kagame dictator. Kagame kafanikiwa kuiweka Rwanda pamoja si kwa lelemama kama za kina Ulimwengu. Nchi kama Tanzania inahitaji nguvu kubwa kuirekebisha. Na kiongozi kama Kagame ndo anatakiwa. Tunae wa kwetu ambae anafanya vyema pia tumsupport. Ulimwengu hana issue. Kama si uzee basi ni kupenda sifa kusiko na tija. Go Magufuli go.
 
Njaa ni mbaya nakuona na wewe unajipendekeza kwa nguvu uteuzi umeshaisha na ajira za buku 7 zinakaribia kufika mwisho

kWELI KABISA. Tznia kunyooka lazima iwe na mtu wa aina ya kagame mara mbili. Magu anasifa hiyo. Tumpe support watazania kwa nguvu zote. Mambo ya 'nimekosa mimi nimekosa sana' hatyatusaidiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom