JENERALI ULIMWENGU PRESENTATION AT OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA - MORAL DECAY Tanzania

Sio utani, hawa ndio viongozi tunaowatafuta kwenye hii nchi. Anaonyesha kuna nyufa kubwa sana ambayo imeachwa kwa kutokuwa na statesman tanzania. Hizo ndio hotuba ambazo raisi wa nchi changa anatakiwa kutoa mara kwa mara. Yu wapi kikwete? Umesikia? Au ni kiziwi pia, manake kwa malinganisho ni bubu wewe.
 
Back
Top Bottom