Elections 2010 Jenerali Ulimwengu: CCM Wamejifunga Magoli

mkuu nakupa heshima na vyeo vyote umegusa maini jamani kama alivosema fid q "sikio la kufa zibuka musikie hizi dawa"
Conquest-Njaa tawala tanzania labda wata sikia na kuelewa upi mwanga na kipi kiza Aaamin:doh:
 
Hii mada nillikuwa sijaisoma lakini imekuwa kibwagizo kikubwa leo baada ya kumsikiliza Jenerali kwenye marudio ya Kongamano la Katiba. Vimeoana sana, haswa pale anavyoelezea jinsi alivyoshiriki kumsaidia Mkapa kupambana na Mrema wakati huo. Ikabidi mambo yapindishwe pindiswe kwa sababu ya Mrema asiweze kupumua.
Nimempenda kwa sababu moja tu, kuwa ni kati ya watu wachache sana waliowahi kufanya kazi na viongozi wa juu wa CCM walio na ujasiri wa kutoka hadharani na kuelezea mapungufu ya hiki chama kilicholewa madaraka. Tunaomba wajitokeze kwa wingi zaidi kwani hizi ndiyo dalili nzuri za kuzaliwa upya kwa Taifa letu.
 
Back
Top Bottom