Jiwejeusi
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 754
- 131
Mgonjwa wako ccm hawezi kupona kwani hatibiwi na madaktari bingwa, anatibiwa na wehu. Mtu kama burn kurudi hawezi kuiponya ccm. Anachofanya ni kuimalizia kabisa japo yeye anadhani anatibu. Huu ni wehu.Je, kuna mwelekeo mgonjwa wetu (CCM) anapata nafuu?