bullet
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 1,047
- 537
Tatizo si mabadiliko, tusijidanganye na vita vya Somalia n.k . Mabadliko ni lazima, ni kama maji na mkondo wake hata ufanyeje yatapita tu. Hapa tatizo ni wale wanaoyazuia mabadiliko.
CCM wanatumia nguvu kuyazuia mabadiliko kitu ambacho kinapingana na asili ya binadamu! However long the night is, be sure the day is coming!
Mabadiliko ni lazima! Aluta Continua!
CCM wanatumia nguvu kuyazuia mabadiliko kitu ambacho kinapingana na asili ya binadamu! However long the night is, be sure the day is coming!
Mabadiliko ni lazima! Aluta Continua!